TeamLowassa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 1,495
- 937
Wanajukwaa!
Habari ya ITV saa mbili sasa hivi wameonyesha wanachama wa ccm wakifanya maamuzi ya kuhama kutoka CCM kwenda chadema! Maamuzi haya yameongozwa na Diwani wa kata ya Mateves!