..."Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo, zungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Seketure....".Nzega pamechafuka sana. Nilikuwa naongea jana na fundi magari wa gereji moja ya Nzega kwa simu, anasema kwa kila siku wanazika watu kati ya 4 na 7. Na inaonesha ni kweli. Nilikuwa Nzega wiki iliyopita, nilishangaa kuona karibia kila siku kuna watu makaburini. Mwanzoni nilidhani wanajengea makaburi kumbe ni maziko.
Ukanda wote huo - Tabora, Nzega, Shinyanga, pamechafuka. Ukipita maeneo hayo chukua tahadhari ya hali ya juu. Kama unalazimika kulala maeneo hayo, pengine ni busara kulala kwenye gari lako kuliko huko kwenye nyumba za wageni. Wiki hiyo nilipokuwa Nzega, alifariki mganga msaidizi mstaafu ndugu Mgarula kwa tatizo la upumuaji. Huyu alikuwa na duka la Dawa kata ya Lusu, eneo la Mwaluzwilo. Pia kuna jamaa 3 waliwahi kufanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu wa Resolute, Nzega, wote wamefariki kwa tatizo la upumuaji.
Kuna rafiki yangu amefiwa na ndugu 4 mjini Shinyanga ndani ya wiki 3, wote tatizo la upumuaji.
Mwanza napo siyo salama. Kinachosaidia Mwanza kutoonekana kuna hili tatizo, ni uwingi wa watu. Ukiwa pale mjini siyo rahisi kusikia kila msiba. Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo, zungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Seketure. Ninaowafahamu mimi wamefariki kwa tatizo la upumuaji mjini Mwanza kwa mwezi wa kwanza ni wawili. Wote miili yao ilisafirishwa kwenda Kilimanjaro.
Kila inapowezekana, chukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na bavicha huyo...lengo lao ni kutaka unabii wa Tundu Lissu utimie eti Tanzania watakuwa wanaokota mizoga ya watu barabarani.....Du! Mkuu ahsante kwa taarifa, kumbe tatizo ni kubwa tunajidanganya nilikuwa Mwanza juzi watu wanakula shangwe bila tahadhali, ukifika city mall pale ni balaa
Ndugu yangu chukua tahadhari kadiri uwezavyo, usidanganywe na wanasiasa. Hata wao wapo hatarini sawa na sisi. Lakini unafiki ndio unawafanya watamke hata yale ambayo hayapo mioyoni mwao.Du! Mkuu ahsante kwa taarifa, kumbe tatizo ni kubwa tunajidanganya nilikuwa Mwanza juzi watu wanakula shangwe bila tahadhali, ukifika city mall pale ni balaa
Kwanini uchaguzi uwe hasara? Hivi kweli wananchi wa kata husika hawawezi kuchagua diwani wao pasipo kutumia gharama?Duuh huyu ni Diwani kama sio wa nne kufariki basi wa tano. Uchaguzi wa marudio ni hasara kwa taifa.
Dhamira siyo kumwanika. Hata mie nimefiwa na ndugu zangu 3. Pole kwa kufiwa na ndugu yako. Kama imekutatiza, naomba unisamehe. Haikuwa dhamira yangu. Nami ni gali kwenye majonzinya ndugu yangu, halijaisha hata wiki tangu atutoke.Naona umeamua kumuanika Mzee wangu Mgalula.
Si,vizuri hivyo ndugu,dunia duara,
Leo kwangu kesho kwako.
Hakuna uchaguzi,sidhani kama kuna chama pinzani kitaweka mgombeaDuuh huyu ni Diwani kama sio wa nne kufariki basi wa tano. Uchaguzi wa marudio ni hasara kwa taifa.
Kweli watakwisha. Wamewafanya WaTz hawana akili kwenye uchafuzi wa 28/10/2020. Sasa wamfanye Mungu naye chizi tuone!Mataga mkatubu. Mtakwisha!
Halafu kuna mtu anatumia madaraka yake na kutangaza TZ haina corona!Nzega pamechafuka sana. Nilikuwa naongea jana na fundi magari wa gereji moja ya Nzega kwa simu, anasema kwa kila siku wanazika watu kati ya 4 na 7. Na inaonesha ni kweli. Nilikuwa Nzega wiki iliyopita, nilishangaa kuona karibia kila siku kuna watu makaburini. Mwanzoni nilidhani wanajengea makaburi kumbe ni maziko.
Ukanda wote huo - Tabora, Nzega, Shinyanga, pamechafuka. Ukipita maeneo hayo chukua tahadhari ya hali ya juu. Kama unalazimika kulala maeneo hayo, pengine ni busara kulala kwenye gari lako kuliko huko kwenye nyumba za wageni. Wiki hiyo nilipokuwa Nzega, alifariki mganga msaidizi mstaafu ndugu Mgarula kwa tatizo la upumuaji. Huyu alikuwa na duka la Dawa kata ya Lusu, eneo la Mwaluzwilo. Pia kuna jamaa 3 waliwahi kufanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu wa Resolute, Nzega, wote wamefariki kwa tatizo la upumuaji.
Kuna rafiki yangu amefiwa na ndugu 4 mjini Shinyanga ndani ya wiki 3, wote tatizo la upumuaji.
Mwanza napo siyo salama. Kinachosaidia Mwanza kutoonekana kuna hili tatizo, ni uwingi wa watu. Ukiwa pale mjini siyo rahisi kusikia kila msiba. Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo, zungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Seketure. Ninaowafahamu mimi wamefariki kwa tatizo la upumuaji mjini Mwanza kwa mwezi wa kwanza ni wawili. Wote miili yao ilisafirishwa kwenda Kilimanjaro.
Kila inapowezekana, chukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
hata wewe pamoja na umasikini wako bado utakufa tu[emoji38][emoji38][emoji38].Kwiyoo.. walete walete Kwiyoo Kwiyoo..!
MaCCM yakifa mimi siwezi kulia..
Nitayatupa Bugili-Chato yawe chakula cha Simba.. [emoji126][emoji1739]
Matatizo ya Kupumua Ni UGONJWA GANI HUO?Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla.
Marehemu alipata matatizo ya kupumua ambayo kwa bahati mbaya yamepelekea kifo chake.
Mengine yote kwa sasa yanakuwa ni historia isiyoweza kubadilishwa tena.
Tangulia Mh. Dotto nasi tuko nyuma yako.
Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Siyo hasara wenyewe wanasema demokrasia ina gharama. Na hizo ndo gharama zakeDuuh huyu ni Diwani kama sio wa nne kufariki basi wa tano. Uchaguzi wa marudio ni hasara kwa taifa.
Mbona wabunge hawafi?
Ukiona wananchi wanafuraia umauti wa mwananchi mwenzao kwa itikadi ya uongozi, faham kuwa kiongozi wa nchi hiyo aongozi MIOYO ya wananchi wake bali anaongoza MIILI yao.Mabibi na mabwana habari za kusikitisha kutokea pande za Igusule, Nzega mkoani Tabora, ni kuwa Diwani wa pande za huko tokea chama pendwa CCM ametutoka ghafla.
Marehemu alipata matatizo ya kupumua ambayo kwa bahati mbaya yamepelekea kifo chake.
Mengine yote kwa sasa yanakuwa ni historia isiyoweza kubadilishwa tena.
Tangulia Mh. Dotto nasi tuko nyuma yako.
Bwana alitoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
Mbona mwaka huu tayari wameshavuta wawili mkuu,Mbona wabunge hawafi?
Najua sana mkuu nitakufa nakuoza kabisa. Kazi ipo kwenu "wazee wa viete" mnaojiona miungu watu kwa kodi zetu, na matendo yenu maovu ya kutesa na kuua watanzania.hata wewe pamoja na umasikini wako bado utakufa tu[emoji38][emoji38][emoji38].
unaona dunia ilivyo haiko fair???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuuuuhMataga mkatubu. Mtakwisha!
Duuuuh hali ni mbaya jomoneeeeeehNzega pamechafuka sana. Nilikuwa naongea jana na fundi magari wa gereji moja ya Nzega kwa simu, anasema kwa kila siku wanazika watu kati ya 4 na 7. Na inaonesha ni kweli. Nilikuwa Nzega wiki iliyopita, nilishangaa kuona karibia kila siku kuna watu makaburini. Mwanzoni nilidhani wanajengea makaburi kumbe ni maziko.
Ukanda wote huo - Tabora, Nzega, Shinyanga, pamechafuka. Ukipita maeneo hayo chukua tahadhari ya hali ya juu. Kama unalazimika kulala maeneo hayo, pengine ni busara kulala kwenye gari lako kuliko huko kwenye nyumba za wageni. Wiki hiyo nilipokuwa Nzega, alifariki mganga msaidizi mstaafu ndugu Mgarula kwa tatizo la upumuaji. Huyu alikuwa na duka la Dawa kata ya Lusu, eneo la Mwaluzwilo. Pia kuna jamaa 3 waliwahi kufanya kazi kwenye mgodi wa dhahabu wa Resolute, Nzega, wote wamefariki kwa tatizo la upumuaji.
Kuna rafiki yangu amefiwa na ndugu 4 mjini Shinyanga ndani ya wiki 3, wote tatizo la upumuaji.
Mwanza napo siyo salama. Kinachosaidia Mwanza kutoonekana kuna hili tatizo, ni uwingi wa watu. Ukiwa pale mjini siyo rahisi kusikia kila msiba. Ukitaka kujua ukubwa wa tatizo, zungumza na wahudumu wa afya wa hospitali ya Seketure. Ninaowafahamu mimi wamefariki kwa tatizo la upumuaji mjini Mwanza kwa mwezi wa kwanza ni wawili. Wote miili yao ilisafirishwa kwenda Kilimanjaro.
Kila inapowezekana, chukua tahadhari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona wananchi wanafuraia umauti wa mwananchi mwenzao kwa itikadi ya uongozi, faham kuwa kiongozi wa nchi hiyo aongozi MIOYO ya wananchi wake bali anaongoza MIILI yao.