Diwani CHADEMA(Mbeya) nusura apigwe kwa rushwa

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Mbeya. Diwani wa Kata ya Isyesye, Ibrahimu Mwampwani (Chadema) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Manga Veta, Godlove Haule (Chadema) nusura watwangane makonde mbele ya wananchi baada ya kutuhumiana kula rushwa kutoka kwa mwenye jengo la ghorofa linalodaiwa kujengwa juu ya mkondo wa maji na kusababisha mafuriko jijini Mbeya.

Sakata hilo lilitokea baada ya viongozi hao kukutana mbele ya jengo hilo wa kiwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na wananchi wakijadiliana jinsi yakukabiliana natatizo la mafuriko yanayotokea mara kwa mara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha .

Akizungumziatukiohilo, John Steven mkazi wa Isyesye alisema kuwa walifika katika eneo hilo kwalengo la kupata suluhisho la mafuriko na ubovu wa miundombinu ya barabara kwani limekuwa nitatizo kubwa katika eneo hilo ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanaokaa eneo hilo wameyafungia ndani magari yao kutokana na kushindwa kupita.

“Hawa ni viongozi wetu na ndiyo wanashughulikia suala hili lakini cha kushangaza inaonyesha baadhi yao wanamaslahi binafsi hadi wanafikia hatua kama hii yakurushiana maneno na kutaka kupigana wakati tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida kutokana na mafuriko,” alisema

Haule alipoulizwa kuhusu tukio hilo alisema kuwa ni kweli walitaka kurushiana makonde kutoka na na baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakifanya kazi kwa maslahi yao kwani tatizo la jengo hilo la ghorofani la muda mrefu lakini hakuna hatua inayochukuliwa.

Kwa upande wake Mwampwani alipoulizwa kuhusiana natukio hilo alisema kuwa ni kweli hali hiyo ilikuwepo ni baada ya kuambiwa na mwenyekiti huyo kuwa inawezekana atakuwa amechukua rushwa kwa mmilikiwa jengo hilo.

Chanzo: Mwananchi

Maoni yangu;
Hili dudu rushwa linaota mizizi kwa kasi sana huko kwa makamanda..,Mbowe alizungumzia sasa picha halisi imeonekana.

Wito wangu kwa chadema ni kujitathmini la sivyo wananchi wanawachoka baada ya kugundua ni chama kilicho na makandokando hasa baada ya kubadili gia angani.
 
Hayo itakuwa maajabu kama diwani anatowa kibali badala ya mipango miji.Labda mtoa mada haelewi taratibu za mipango miji au ni ukada unamsumbua.Kaanze jingine!!!!!!!!
 
Unategemea nini
Chama kisicho kosolewa ulikiona wapi tofauti na Tz!!?
cdm nikundi lawasio jitambua
Ndio vizuri
 
Diwani wa kata ya Isesye,Ibrahim Mwampwani(Chadema) na Mwenyekiti wa mtaa wa Manga Veta.Godlove Haule(Chadema) nusura watwangane makonde mbele ya wananchi baada ya kutuhumiana kula rushwa kutoka kwa mwenye jengo la Ghorofa linalodaiwa kujengwa juu ya mkondo wa maji na kusababisha maruriko jijini Mbeya.
Source:
Ngumi.jpg
 
Serikali yote ya Chadema Jiji la Mbeya iko mfukoni mwa huyo mfanyabiashara?
 
Diwani wa Kata ya Isyesye, Ibrahimu Mwampwani (Chadema) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Manga Veta, Godlove Haule (Chadema) nusura watwangane makonde mbele ya wananchi baada ya kutuhumiana kula rushwa kutoka kwa mwenye jengo la ghorofa linalodaiwa kujengwa juu ya mkondo wa maji na kusababisha mafuriko jijini Mbeya.

Sakata hilo lilitokea baada ya viongozi hao kukutana mbele ya jengo hilo wa kiwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na wananchi wakijadiliana jinsi yakukabiliana natatizo la mafuriko yanayotokea mara kwa mara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha .

Akizungumziatukiohilo, John Steven mkazi wa Isyesye alisema kuwa walifika katika eneo hilo kwalengo la kupata suluhisho la mafuriko na ubovu wa miundombinu ya barabara kwani limekuwa nitatizo kubwa katika eneo hilo ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanaokaa eneo hilo wameyafungia ndani magari yao kutokana na kushindwa kupita.

“Hawa ni viongozi wetu na ndiyo wanashughulikia suala hili lakini cha kushangaza inaonyesha baadhi yao wanamaslahi binafsi hadi wanafikia hatua kama hii yakurushiana maneno na kutaka kupigana wakati tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida kutokana na mafuriko,” alisema

Haule alipoulizwa kuhusu tukio hilo alisema kuwa ni kweli walitaka kurushiana makonde kutoka na na baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakifanya kazi kwa maslahi yao kwani tatizo la jengo hilo la ghorofani la muda mrefu lakini hakuna hatua inayochukuliwa.

Kwa upande wake Mwampwani alipoulizwa kuhusiana natukio hilo alisema kuwa ni kweli hali hiyo ilikuwepo ni baada ya kuambiwa na mwenyekiti huyo kuwa inawezekana atakuwa amechukua rushwa kwa mmilikiwa jengo hilo.
 
Diwani wa kata ya Isyesye jijini Mbeya, Ibrahimu Mwapwani, Chadema nusura zichapwe na Mwenyekiti wa mtaa wa Manga veta, Godlove Haule, Chadema kwa tuhuma za kupokea rushwa iliyowezesha kutoa kibali cha ujenzi wa gorofa kwenye mto.

Chanzo: Mwananchi online.

Maoni yangu;
Hili dudu rushwa linaota mizizi kwa kasi sana huko kwa makamanda..,Mbowe alizungumzia sasa picha halisi imeonekana.

Wito wangu kwa chadema ni kujitathmini la sivyo wananchi wanawachoka baada ya kugundua ni chama kilicho na makandokando hasa baada ya kubadili gia angani.
heri tulipowanyima kura wangeshindaje
 
Diwani wa Kata ya Isyesye, Ibrahimu Mwampwani (Chadema) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Manga Veta, Godlove Haule (Chadema) nusura watwangane makonde mbele ya wananchi baada ya kutuhumiana kula rushwa kutoka kwa mwenye jengo la ghorofa linalodaiwa kujengwa juu ya mkondo wa maji na kusababisha mafuriko jijini Mbeya.

Sakata hilo lilitokea baada ya viongozi hao kukutana mbele ya jengo hilo wa kiwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri na wananchi wakijadiliana jinsi yakukabiliana natatizo la mafuriko yanayotokea mara kwa mara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha .

Akizungumziatukiohilo, John Steven mkazi wa Isyesye alisema kuwa walifika katika eneo hilo kwalengo la kupata suluhisho la mafuriko na ubovu wa miundombinu ya barabara kwani limekuwa nitatizo kubwa katika eneo hilo ambapo asilimia kubwa ya wananchi wanaokaa eneo hilo wameyafungia ndani magari yao kutokana na kushindwa kupita.

“Hawa ni viongozi wetu na ndiyo wanashughulikia suala hili lakini cha kushangaza inaonyesha baadhi yao wanamaslahi binafsi hadi wanafikia hatua kama hii yakurushiana maneno na kutaka kupigana wakati tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida kutokana na mafuriko,” alisema

Haule alipoulizwa kuhusu tukio hilo alisema kuwa ni kweli walitaka kurushiana makonde kutoka na na baadhi ya viongozi wa kisiasa wamekuwa wakifanya kazi kwa maslahi yao kwani tatizo la jengo hilo la ghorofani la muda mrefu lakini hakuna hatua inayochukuliwa.

Kwa upande wake Mwampwani alipoulizwa kuhusiana natukio hilo alisema kuwa ni kweli hali hiyo ilikuwepo ni baada ya kuambiwa na mwenyekiti huyo kuwa inawezekana atakuwa amechukua rushwa kwa mmilikiwa jengo hilo.
Haya mambo tuliyasikia sana CCM, sasa mambo yamegeukia kwa mahasimu wao CHADEMA, machungu ya gharama za kumuuzia LOWASSA chama sasa wanaanza kuyahisi.
 
Back
Top Bottom