Diwani CHADEMA kufikiswa mahakamani

Diwani CHADEMA kufikiswa mahakamani

NDIKILO

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
18
Reaction score
5
Diwani wa CHADEMA kata ya Nyamanoro Ilemela Mwanza bwana ABUBAKARI KAPERA,anatarajia kufikiswa mahakamani kutoka na tuhuma ya kumfungia ndani ya ofisi Mkurugenzi wa halimashauri ya manispaa ya Ilemela Mwanza.Itakumbukwa kwamba kutokana na mchezo mchafu wa CCM,na Mkuu wa Mkoa wa MWANZA Eng Ndikilo,kulitokea uchakachuzi wa kanuni za kukopa kutoka Almashauri ya Jiji la Mwanza na kupelekea diwani wa mahakama aliye fukuzwa na Chadema Henry Matata[diwani wa kichina] kutangazwa na CCM Kuwa ni Meya wa Ilemela kinyume na taratibu na kanuni,bahada ya Matata kutangazwa kuwa Meya aliamua kuwafukuza madiwani watatu wa Chadema Dani Kaungu diwani kata ya Kirumba,Marieta Chenyenge diwani kata ya Ilemela na Abubakari Kapera kata ya Nyamanoro,madiwni hao watatu waliamua kukata rufaa kwa Waziri Mkuu, waziri mkuu alituma barua za kuywarejeshea udiwani madiwani hao lakini mkuu wa mkoa wa Mwanza ENG Ndikilo alizikatalia barua hizo,kutokana na sintofahamuhiyo ilipelekea wananchi wa Mwanza kuandamana ili kumshinikiza Ndikilo kutoa barua hizo lakini kutokana na kiburi cha Ndikilo bado alizikatalia ndipo kakika kikakimoja wapo cha baraza la madiwani wa Ilemela,madiwani wa CHADEMA wakaamua kwenda halimashauri ya Ilemela na kwenda kumdai mkurugenzi majibu ya rufaa yao kwani ndiye muwakirishi wa waziri mkuu.
 
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema
 
Anayestahili kushitakiwa ni Waziri mkuu kwa kutofanya maamuzi kwa muda mrefu kuliko inavyotarajiwa.
Amekosesha wananchi wa kata hizo maendeleo kwa kuingiza uhuni wa ccm. Na kwa kweli kitendo hiki kimethibitisha kuwa waziri mkuu ni mzigo wa misumari wa ccm.
 
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema

utabalehe lini inawezekana tuchangia na watoto wa sekondari huku jf ,hakuna comment zako zinazoonyesha ni mtu mzima unayepambanua mambo kwa kina hamia facebook kuna rika lako kule
 
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema

unafikiri anaweza kuwa taaahira kama mama yako???ndio mana na wewe umenyonyea utaahira. Unafikiri mahakama ina akili kama zako??? Kweli mwehu ni mwehu tu.
 
huyo diwani afungwe maisha jela ,hana adabu ni taahira kama wafuasi wa chama cha kitapeli chadema

sisi tumemchagua wewe unamtukana...!! We nani!? Mama yako ndo tapeli kakudanganya huyo ndo babako.
 
utabalehe lini inawezekana tuchangia na watoto wa sekondari huku jf ,hakuna comment zako zinazoonyesha ni mtu mzima unayepambanua mambo kwa kina hamia facebook kuna rika lako kule

takataka linaloishi kwa buku saba hili... Achana nalo lumumba bk 7.
 
Anayestahili kushitakiwa ni Waziri mkuu kwa kutofanya maamuzi kwa muda mrefu kuliko inavyotarajiwa.
Amekosesha wananchi wa kata hizo maendeleo kwa kuingiza uhuni wa ccm. Na kwa kweli kitendo hiki kimethibitisha kuwa waziri mkuu ni mzigo wa misumari wa ccm.

mamba huyu...
 
Huyo Diwani ana mambo ya kitoto sana, kumfungia mkurugenzi wa halimashauri ndani, ni utovu wa nidhamu usiosemeka, wapiga kura wake wamesikitishwa sana na kitendo cha kijinga kufanywa na diwani wao!
 
Huyo Diwani ana mambo ya kitoto sana, kumfungia mkurugenzi wa halimashauri ndani, ni utovu wa nidhamu usiosemeka, wapiga kura wake wamesikitishwa sana na kitendo cha kijinga kufanywa na diwani wao!

tupe ushahidi wa hichi unachosema kuhusu wananchi wapiga kura kwamba amesikitishwa na kitendo cha diwani wao
 
unafikiri anaweza kuwa taaahira kama mama yako???ndio mana na wewe umenyonyea utaahira. Unafikiri mahakama ina akili kama zako??? Kweli mwehu ni mwehu tu.

we ndio taahira namba moja tanzania
 
Back
Top Bottom