Diwani ayapora majambazi silaha

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,965
Diwani wa Kata ya Kiborlon, Manispaa ya Moshi, Frank Kagoma (Chadema), amefanya tukio la kishujaa kwa kupambana uso kwa uso na majambazi kadhaa waliokuwa wanamfyatulia risasi huku yeye akiwa mikono mitupu. Akisimulia tukio hilo, diwani huyo alisema kuwa tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki majira ya saa tano asubuhi katika eneo la Kiborlon baada ya majambazi hao kuvamia duka moja la nguo za mitumba na kupora shilingi milioni 10 huku wakimjeruhi kwa risasi kichwani mmiliki wa duka hilo, Menti Mbowe.
 
Back
Top Bottom