Unapomushauri mtu hakikisha unajua na home background yake kwanzaUalimu wa nini? Au anapenda njaa?? Kama issue ni Physics UD pana course nyingi kama
Bsc.in Phys & Chem
Dental Surgery
Geology & Geothermal
Bsc.GeoPhysics
Upo sahihi mkuu kuna kitu watu Bado hawajakielewa anaenda kusoma Bachelor of science in physics and chemistry na anaenda kusoma Bachelor of science ( physics & chemistry) with education they don't have the same advantage. Wote wanaweza kusoma masters of science in physics lkn mwenyewe education ana advantage Incase Mambo yakienda tofauti,Unapomushauri mtu hakikisha unajua na home background yake kwanza
Are you sure about that?Hata huko udsm undergraduate publication kwenye journals ni non priority. Vyuo vyote vya Tanzania publication on journals inatiliwa mkazo from postgraduate studies.
Kwenye ualimu unataka kupublish nini.
Usijaribu kumleleka Education mkuu ,utambaribia future aisee ,vipo vyuo vingi Sana,mdogo Wangu nilimpeleka mbeya akasomea afya kwa ufaulu Kama huo Sasa ni luten wa jeshi huwa ananishukuru ana alitaka kusomea education nikamkatalia kabisaSamahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Huyo kijana hataki kuelewa. Kiresearch chake uchwara undergraduate cha laki 2 anataka apublish reputable journal [emoji23].Publications kwenye reputable journals, are you serious? Ni lini wanafunzi wa undergraduate TZ wakawa na research za kupublish kwenye journals za kimataifa. Kuna member kakujibu zinazingatiwa kwa watu wa post-graduate.
Tuachane na hayo
1. Nafasi ya kusoma udsm main campus education unaweza kupata lakini jaribu kuomba na campus ya duce wako vizuri pia.
2. Usiibeze udom kwenye physics aisee mbona bachelor of physics inatolewa pale Kwaio wako vizuri tu nadhani.
3. Kwa maoni yangu st. Joseph University wako vizuri kwenye practical physics kwa sababu wale wahindi wana vifaa vingi kuliko hizi public universities (umesema unataka research based learning methodology) hope patakufaa pale.
Otherwise Goodluck.
Vigezo anavyo ndio kusoma hivyo vyuo ila Competition itamuondoa mapema sana sikuhizi madogo wanaweka DIV I za 3,4,5 wengi mno mwaka jana kuna Dogo alikuwa na DIV I ya 9 akatarget CUHAS akatemwaKCMC, CUHAS na vyote vya serikali.
SUA hakuna kitu muleWatu wengi wanajua ualimu ni duce, muce na coed wakati kuna vyuo vinapaform.fresh.
Mfano sua wako good sana kwenye ualimu.
Mbona kama unadanganya mkuu au hujaelewa anachomaanisha mtoa madaeducation physics hakuna ila ni Bsc ya science in chem and physics, kigezo ni two principal passes in Chemistry and Physics. In addition anapplicant MUST HAVE passes in Chemistry, Physics andMathematics at O’ Level.
kivipi si kaomba kujua kama anaweza kusoma course ya edu phy na chem?Mbona kama unadanganya mkuu au hujaelewa anachomaanisha mtoa mada
Mbona ufaulu mzuri kwanini asome ualimu wakati ajira zenyewe magumashi? Sijajua ufaulu upo vipi mwaka huu Ila mshauri akasome medicine kama vp...vyuo kcmc, bugando, muhimbili etc etcSamahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
HAPATIMbona ufaulu mzuri kwanini asome ualimu wakati ajira zenyewe magumashi? Sijajua ufaulu upo vipi mwaka huu Ila mshauri akasome medicine kama vp...vyuo kcmc, bugando, muhimbili etc etc
Anapata vizuri tu wengi wanakimbilia muhimbili na Udsm vyuo vingine vinakosa watu kama ana c mbili inaenda tu tena vizuri.HAPATI
Aende St Joseph, Mwanza University, St Francis Kampala ambavyo sijavitaja sijui kama.atapata na huko awe na msuli wa Pesa sasaAnapata vizuri tu wengi wanakimbilia muhimbili na Udsm vyuo vingine vinakosa watu kama ana c mbili inaenda tu tena vizuri.
Kama tatizo ni background, aanze tu hustle mapema aachane na masuala ya chuo, kwa ushauri kutoka kwa Mpwayungu VillageUnapomushauri mtu hakikisha unajua na home background yake kwanza
Huu ujinga wa kushikilia afya inasababisha, mafundi wa vifaa vya afya wanatokea Kenya..Daah maisha kila mtu anafanya anachokiona yeye kila mtu akisoma afya nan atakuwa mwalimu punguzen ushauri coz hamjui malengo yake ni yapi mtu kauliza anaweza chaguliwa ualimu udsm mnajifanya ety akasome afya afya je kama hayupo interested huko
Unataka kusoma ualimu kwa Tz hii?!Samahani wapendwa, mdogo wangu ana division two (10) PCB anataka kusoma education ( Physics and Chemistry) je anaweza kuwa admitted UDSM?
Biomedical Eng Hawapo!?Huu ujinga wa kushikilia afya inasababisha, mafundi wa vifaa vya afya wanatokea Kenya..