Divine matrix under entangled reality

dah! Hao wataalamu nahisi ni ngumu kuwapata asee
 
dah! Hao wataalamu nahisi ni ngumu kuwapata asee
Naskia wapo ila kuwapata ndio mtiti

Nilkuwa nafatilia historia ya asili yangu nikagundua hata babu yangu hajui alitokea wapi wala hajui asili ya ukoo wetu

Paka apatikane mtu wa ziada mwenye ujuzi wa kufanya spiritual connections za uhakika ili nianze kuresonate with the same frequency with my soul families
 
Mmmh... Sijui ndio nimeondolewa huo uwezo waku-unlock hizo patten!
Sijui ndio sina hiyo pineal glad ndio maana naona chenga tu hizi habari!? Ila huo uwezo umeondolewaje!? Lini? Na nani? Haswa hiyo peneal glad huko kwenye ubongo imeng'ofolewa vipi!?

Kiukweli naona mauzauza tu hizi habari maana sijui hatma yake ni nini? Watu kuficha kujua ukweli ni kwa lengo gani? Yaani Wengine waweze kuendesha dunia Wengine wawe waburuzwa tu, for what?

Hao walizigundua hizo codes mwisho wao ilikuaje? Zimewawezesha kufanya nn katika maisha yao? Vipi kuhusu codes za kifo hazijulikani? Codes za kuzuia kufa!? Kama wanaojua na wasiojua mwisho wa siku wote ni RIP tena anaejua ndio anaRIP mapema kuliko mtu ambaye yupo kijijini huko hajui chochote anakula zake vyakula vya asili yupo Fifi zero stress. Hana changamoto za bills za maji, umeme, kodi za nyumba wala usafiri.


Anyway..
 
Universe ikikukataa basi aisee

Fanya namna upatane na universe, give a universe a reason to help You

Wengine wana bahati universe inawakubali instantly wengine Duh

Universe inakua na mashaka but when the universe accepts you unakua untouchable
 
Huu Uzi umejaa madini Sana hakika.Kuna mengi ya kujifunza kupitia uzi huu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…