mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
- Thread starter
-
- #21
tena na MALCOM LUMUMBA usimuache waweza kuta naye bado anakumbukumbu zileeeeee za mwaka 47... lol! njooni bana, mrudi mkatumbue majipu ya kina jMaliNimemwambia hivi mwezi ujao nitaenda kutembea Rwanda na Burundi ili niweze kushuhudia mwenyewe. Karibu bia.!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]You are a real great thinker !
Unajichekeshachekesha hapa unadhani tunagawa kondomu za bure humu? Humu ni mazungumzo tu na elimu, zinaa ni hukohuko kwenu Rwanda.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Great thinker[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ..kweli afrika tumelaaniwa.Unajichekeshachekesha hapa unadhani tunagawa kondomu za bure humu? Humu ni mazungumzo tu na elimu, zinaa ni hukohuko kwenu Rwanda.
Umelaaniwa wewe na wauaji wenzio mkiongozwa na Paulo, zaidi ya hapo hakuna mwafrika aliyelaaniwa.Great thinker[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] ..kweli afrika tumelaaniwa.
Unakimbia nini mkuu ? Just relax brother, madame victoire is giving you the reality.
Great thinker....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Umelaaniwa wewe na wauaji wenzio mkiongozwa na Paulo, zaidi ya hapo hakuna mwafrika aliyelaaniwa.
Upo we kiumbe dhaifu? Naona mnarudi kwa kasi jukwaani, kwani kondomu za bure zimeisha?Ile simu yako yenye keyboard ya kifaransa iko wapi siku hizi na wewe uvunje yai la kifaransa hapa jukwaani.,hahah
Upo we kiumbe dhaifu? Naona mnarudi kwa kasi jukwaani, kwani kondomu za bure zimeisha?
Teh teh teh hiyo karibu ni ya kutoka moyoni au ni mawenge tu.
Ila msije mkanifikishia lupango maana nyie ndio huwa tabia zenu hizo.
Huyu ni great thinker huyo..namuogopa kweli kweli[emoji23] [emoji23]Ile simu yako yenye keyboard ya kifaransa iko wapi siku hizi na wewe uvunje yai la kifaransa hapa jukwaani.,hahah
Unawaumiza moyo bure...@jmali kalala baa halafu analalamika eti kufanya usafi katiba inaruhusu? Uchafu uko kwenye DNA yakeni ya kutoka moyoni mkuu! hakuna atakaye kufunga... labda na wewe ujifanye umekuja kikazi kama yule mama waki-Holanzi au ujifanye kurudia mistari ya jMali ya kwenye JF! vinginevyo lazima utapapenda/utatupenda! tena umepitwa leo huku tulikuwa tuna emjoy CAR-FREE-DAY! take a look...
hahahhahah...Unawaumiza moyo bure...@jmali kalala baa halafu analalamika eti kufanya usafi katiba inaruhusu? Uchafu uko kwenye DNA yake
tena na MALCOM LUMUMBA usimuache waweza kuta naye bado anakumbukumbu zileeeeee za mwaka 47... lol! njooni bana, mrudi mkatumbue majipu ya kina jMali
Teh teh teh hiyo karibu ni ya kutoka moyoni au ni mawenge tu.
Ila msije mkanifikishia lupango maana nyie ndio huwa tabia zenu hizo.
Huyo Ange anasoma hapo au?
Teh teh teh hawa jamaa hawachelewi..
Anaandaliwa kuja kuwa mtawala huyo. Nimejaribu kuangalia video zake na yeye anajaribu kuelezea matukio ya kisiasa nchini kwao baada ya mauaji ya kimbari.
Hili swali hawawezi kukujibu. Ni makosa kusema mambo yanayomuhusu binti mfalme.
ah, sa mbona unakuja kimya-kimya mkuu? siku nyingine siio kupita wima kama vile hauna ndugu huku!Aaah braza,
Mbona nilikuwepo juzi juzi tu pale University of Rwanda.
Ila Ange amekuwa mzuri tuache mzaha daaah!