kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 523
- 916
nasikia diva ana mimba ya mtoto wa temeke juma kasim nature. eti kweli jamani? kama kweli bas dah hyu dada kweli zoazoa.
Who cares?
Her mother cares!
Hana mama amefariki
Ndio nani huyu humu jf
Si ni mjumbe wa katiba umemsahau
Si ni mjumbe wa katiba umemsahau
Mhh....... kama ni umbea basi huu utakuwa umevaa jeans.Diva vs Juma Nature mbona kama link inakuwa ngumu.Ila yule Diva akili yake sio OK kabisa anything can happen.
Who the hell is Diva?