Nimetaja vitu vinne vikubwa ambavyo kwavyo ndio unapata kitu kinaitwa taifa na ndio maana ninasema tumbo lililokuzaa yaani TAIFA (mama Tanzania) hivi kwa nini wimbo huo unapopigwa huwa tunasimama na kutoa heshima? Lakini pia unajua kuwa ni kosa kisheria kudharau,au kudharilisha vitambulisho vya taifa,umeshejiuliza madhara ya kauli ile kuwa anauchukia wimbo wa taifa imeleta madhara kiasi gani kwa vijana waliokuwa wanaangalia tv wakati huo huyu anapaswa kutuomba radhi watanzania wazarendo tulioumia kama yeye sio mzalendo poa angekaa kimya hakuna mtu angemjadili lakini sio kulidhalilisha taifa letu hadharani harafu tuchukulie poa.hapanaTumbo lililonizaa ndio bendera ya taifa? Kweli humu kuna watu wamepagawa. Kila mtu na msimamo wake kama mtu hana habari na wimbo au bendera ya taifa hakuna haja ya kumsakama. Kila mtu na maisha yake kwanza sio lazima kujua wimbo wa taifa unamaana gani.
Diva na Le Mutuz
wangeoana hawa tu...
Wapo watu wengi sana ambao hawaujui wimbo huo na maisha yanaenda kama kawa, na nazani si kosa kisheria.Wimbo wa taifa ni hoja muhimu ndio utambulisho wa mtz nakukumbusha tu kama haujui
Hii nchi kama ina watu kama wewe itachukua mda sana kuendelea yani wimbo wa taifa kweli elimu hamna siku hizi wazazi wanaibiwa hela tuu yani upo serious na ujinga hebu nipe faida moja ya kuujua huo wimbo wa taifa na we ni mmoja wa wapumbavu wachache mnaorudisha maendeleo ya hiiYou guy can't differentiate! yule alikosea na inawezekana alikuwa haelewi, lakini huyu kasema haujui wimbo wa taifa na vilevile haupendi. sasa sijui wewe ulipokuwa shule unaimba wimbo wa taifa ulitaka uje uwe diwani au waziri! mi naona wewe ni mpumbavu kuliko hata huyo diva a.k.a chausiku
yah ..................lovely observation ...... Nimeipenda maana huwezi chukia kitu usichokijuwa...
Nimetaja vitu vinne vikubwa ambavyo kwavyo ndio unapata kitu kinaitwa taifa na ndio maana ninasema tumbo lililokuzaa yaani TAIFA (mama Tanzania) hivi kwa nini wimbo huo unapopigwa huwa tunasimama na kutoa heshima? Lakini pia unajua kuwa ni kosa kisheria kudharau,au kudharilisha vitambulisho vya taifa,umeshejiuliza madhara ya kauli ile kuwa anauchukia wimbo wa taifa imeleta madhara kiasi gani kwa vijana waliokuwa wanaangalia tv wakati huo huyu anapaswa kutuomba radhi watanzania wazarendo tulioumia kama yeye sio mzalendo poa angekaa kimya hakuna mtu angemjadili lakini sio kulidhalilisha taifa letu hadharani harafu tuchukulie poa.hapana
Ana stress yule,watoto waliokulia katika familia ya single mother tena maisha magumu wanakua na shida sana ukubwani
Diva na Le Mutuz
wangeoana hawa tu...
Hivi kwanini baadhi ya watu wanapenda kufikia hitimisho haraka haraka? Kwanini tumejenga mazoea ya kwamba tunayoyajua sisi, basi lazima na wengine wayajue kama sisi!!?? Kama wewe unajua kuimba wimbo wa Taifa, so what?!! Ni wewe! Tangu lini kwa mtu asiyejua wimbo wa Taifa (Tanzania) kwamba amekuwa hajitambui? Tena amekuwa mkweli kabisa kwamba haujui na haupendi! amesema wazi, nilidhani kwamba kwa kusema hayo ndio anajitambua, maana anajua asichojua na asichopenda. Labda kama kuna mengine, lakini kwa hili la Wimbo wa Taifa, hapana si haki kuhukumu. Mleta mada una mangapi huyajui maishani mwako ambayo wengine wanayajua, je na wewe kutuite hujitambui!! Hapana
sio wote!!mimi sina na nina apreciate sana juhudi za ''yule mwanamke wa dhahabu'' kunikuza na kunipa kila nililotaka na kunifanya kuwa hivi nilivyo leo!generalization uliofanya inakueleza wewe ni mtu wa namna gani.chagua maneno ya kuongea hata kama ni mtandaoni.itakuongezea heshima na kuficha upuuzi wako!
...hata na wewe ndo walewale tu!..mnatumiaga nguvu nyingi sana muonekane mko exceptional!
....hata wewe nahisi huujui wimbo wa taifa!
..si eti eeh
ndio nani....?