DIVA HAJITAMBUI
Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi "siujui" salama hakuamini jibu hilo akamuanzishia wimbo huo ili kumsaidia hata kama alikuwa ameusahau akasema kwa msisitizo "kwanza huwa siupendi kabisa wimbo huo" kwanza nilijisikia ovyo na kuhisi kumchukia ghafla mtangazaji huyo wa clouds fm.
Wanajifanya wana tabia za kizungu.

HajitambuiDIVA HAJITAMBUI Katika kipindi cha mkasi kilichoruka jana 21/12/2015 usiku Nilipigwa na mshangao wa kufa mtu pale muongoza kipindi Salama alipomuuliza Diva kama anaufahamu wimbo wa taifa akajibu kwa kifupi "siujui" salama hakuamini jibu hilo akamuanzishia wimbo huo ili kumsaidia hata kama alikuwa ameusahau akasema kwa msisitizo "kwanza huwa siupendi kabisa wimbo huo" kwanza nilijisikia ovyo na kuhisi kumchukia ghafla mtangazaji huyo wa clouds fm.
Ndugu hakuna cha uzungu.wanajifanya .com.kumbe LIMBUKENI WA MAISHA.shule zote tumefundishwa wimbo wa taifa yeye hakusoma?.JINGA KABISAWanajifanya wana tabia za kizungu.
Na siyo lugha yake.anachojua kulegeza sauti tu.Ila Ekotikee anaijua mwanzo mpaka mwisho!! Jipu Hilo mkuu.