Div III ya 13 mwaka 2009 nataka kuthubutu tena

Kwa vile application fee ni cheap ngoja nitupie tena
 
EGM nina DED
Vigezo vya kukubaliwa kuomba unavyo, DED lakini ni vizuri ueleze unataka ukasome nini na umejaribu vyuo gani ukakosa. DED ni point 5 hivyo lazima uwe muangalifu unapo omba. Ukifunguka naamini kuna wakuu wanaoweza kukusaidia. Kama walikutema mara (Health Information Systems) labda ujaribu tu in case kuna waliochaguliwa wasiconfirm otherwise fikiria vitu vingine.
 
Una sifa ya kutosha, ila ushindani wa MU na wa UDSM huuwezi! Hata UDOM ni hati hati! Ila vyuo vyote vingine unaweza kupata
kama vile SAUT nk
 
Nimetemwa MU na Udom ila sjakoma nataka apply tena [emoji30]

Nimetemwa MU na Udom ila sjakoma nataka apply tena [emoji30]
Mkuu kama upo tayari nichek kwa namba 0713072971 nikufanyie hapa directly MUM bila gharama zozote zile ni utayari wako tuu na taarfa zako juu ya kile unachotaka kuapply.

NB
Taarifa sahihi zitakuwezesha kupata nafasi hapa MUM
 
Mwaka huo watu waliingia na Principle Pass mbili:-YAAANI 'EE' Chuo kikuu unapata Multiple Admission kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…