thomaskitomari
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 472
- 204
Ingia kwenye website zao. Utaona kalenda zao.Habari wakuu
Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni
Asante
poa mkuu nshaa chek ila naona dit wameweka mda c mrefu maana jana skuionaIngia kwenye website zao. Utaona kalenda zao.
Kwa first year mtaanza trh 7/11/2016Habari wakuu
Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni
Asante
hyo ni kwa DIT ndo trh 7/11Habari wakuu
Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni
Asante
Poa mkuu ingawa naona selection hazjatoka mpaka mda huu daaaahKwa first year mtaanza trh 7/11/2016
Habari wakuu
Kwa wanao vijua hivi vyuo viwili DIT na MUST heb tunaomba mtujulishe mwaka wa masomo 2016/17 unaanza lini ili tusijichoshe sana kusubir selection kumbe kitu ni mwezi huu mwishoni
Asante
Ok brother ngoja tusubiriBrother kwa Dit,Must na Atc jinsi diploma holders wanavyocheleweshwa na Nacte na ndivyo wanavyochelewa kutoa maana vyuo vya ufundi kwao diploma holders nikama unavyoona form six wanavyochukuliwa na vyuo kama Udsm,Udom,Aru,Muhas etc
wanachukua ila mda wao bado hata mm nawait na nimemalizia DIT ko usijalHakika hivyi vyuo nahisi havichukui wanafunzi wa degree mwaka huu, duuuuh
poa mkuuwanachukua ila mda wao bado hata mm nawait na nimemalizia DIT ko usijal
Kwa mliochaguliwa DIT karibu saana wahandisi tarajali kama una swali lolote ulisapoa mkuu
Mkuu kwan wameshatoa selectionKwa mliochaguliwa DIT karibu saana wahandisi tarajali kama una swali lolote ulisa
tusubiri kidogo isee watatoa tuu nadhan[QUOTE="Million dollaMUST kuna shida gani?Wanafungua keshokutwa afu hawajatoa majina mpaka leo?Hii si hatari sasa