Disturbing Image. Mamba si wa kitoto

Duh Mamba sio mchezo bana; Lakini itabidi tu washakaji wakimtoa huyo jamaa wapige bonge moja la Barbeque ya mamba kumaliza hazira zao.:spy:
 
Duh Mamba sio mchezo bana; Lakini itabidi tu washakaji wakimtoa huyo jamaa wapige bonge moja la Barbeque ya mamba kumaliza hazira zao.:spy:
sijui kama jamaa ametoka hai hapo
 
Duh hata kama ni hai atakuwa hatamaniki aisee

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
sijui kama jamaa ametoka hai hapo

Hapo hakuna uhai mkuu....kwa hiyo cha msingi ni kuchagua kimoja tuu. Kuwazika wote sanduku moja au Kumtoa jamaa na kumzika halafu Mdudu Barbeque kutoa machungu yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…