Distinctive features of JF

Girland

JF-Expert Member
Jan 24, 2016
1,826
2,843
Habari za mchana ndugu zangu naamini mnaendelea na majukumu ya kulijenga taifa.
Kwa waliobahatika kukutana na elimu ya viumbehai (biology) washawahi kukutana na msamiati huu distinctive ukimaanisha sifa zinazopatikana kwa kundi Fulani pekee ,kwamfano kundi la mimea (plants) wanajitengenezea chakula chao wenyewe.
Kwa muktadha huo tutoe sifa zinazopatikana JF na sio kwenye mitandao mingine ya kijamii

Naanza ....ngoja waje (only in JF)
Karibuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…