Hii sio bifu ni changamsha genge kila sehemu ipo, genge halilali lazima kuchangamke huyu kampiga huyu spana life goes on akibeba title anaitwa mwingine hivyo hivyo kusipoeHii diss unaionaje lakini? Bifu ni sehemu ya hiphop
Kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide #dizastaRaptcha - Nyuklea Story anasema
99 wasiomjua huyu trash/
Jina lake la kwanza ni Pussy/
Ongeza na F.............
Airtime yote niliyokupa uki-flop/
Nakutia na makofi kwa F.... (Ineedtorelax)
Nimecheka KISENGEVINKISENGEVINA kumamamake yaan Raptcha huu mstari kamtikana vibaya Jamaa hii ni bomu
Bwana Disasta asipojibu itadhihirisha jinsi gani yeye ni Pussy who get facked by anybody,
Napiga chata kwenye wavu haha mimi ni Pele/Kunitaja sio ujasiri hiyo ni suicide #dizasta
Nakubaliana na weweKinachotokea kwa Disasta na Rapcha, ni marudio ya Eminem na MGK.
MGK alionywa mapema kabisa. 50 cents akamwambia "nice song, but you're messing with the wrong guy". Ndicho kilichotokea. Eminem hakujali beats zenye mvuto, wala flow ya kuremba, he just destroyed MGK Lyrically!
Naona pia ndicho alichokifanya Disasta kwenye best friend. Yeye amejikita kwenye mashairi na content, habari ya beats na flow kamuachia dogo ahangaike nazo mwenyewe.
Sidhani kama Disasta atajibu hii diss ya pili. Sioni kama ni battle ya level yake. Itakua kama Tyson Furry kuvimbiana na Mandonga, it's a waste of time!
Fair battle kwa Disasta ni atakapopambana na na MC's design ya One the incredible au P Mawenge. Hapo lolote laweza kumkuta. Rapcha ni level za akina Lunya na Motra.
Simshauri Disasta kujibu tena diss za huyo dogo!
Hivi fid anaweza freestyles au ndio mpaka akaangalie mavitabu yakeFid q kashasema media ndo zina promote bifu
Unacheza na Fid Q anefanya hip hop kwa live band akiwa kwenye show๐๐๐Hivi fid anaweza freestyles au ndio mpaka akaangalie mavitabu yake
Angalia Sauti za Busara Zanzibar au uwe unaenda kuhudhulia, utaelewa kituHivi fid anaweza freestyles au ndio mpaka akaangalie mavitabu yake
Bora hii kajitahidi kuteleza na vina, na beat ime-settleDizasta Kajibu tena wakuu katupa Jiwe linaitwa TRIBULATIONS hatari unusu
Cc Moderator ninadirishie heading isomeke DIZASTA VS RAPCHA
p na vina ni ๐คHii sio bifu ni changamsha genge kila sehemu ipo, genge halilali lazima kuchangamke huyu kampiga huyu spana life goes on akibeba title anaitwa mwingine hivyo hivyo kusipoe
PMawenge v Disasta Vina
Litakufa Jitu,
Nampa PMawenge wewe unampa nani?