Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,384
Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3 ikiwemo Boeing zingetua nchini kabla ya December 2017...
Sasa najiuliza, December si ndo hii kesho tarh 25 tunasherehekea Krismas? Bombardier ziko wapi sasa? Je Rais yeye tu ndo haguswi na masheria yake ya kuzuia watu kusema wakati yeye ndo katangulia mbele kusema Uongo?
UONGO MBELE TANZANIA NYUMA!