Disemba ndo hiyo inakwisha, sioni dalili ya Bombardier kutua nchini kama alivyoahidi Magufuli

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3 ikiwemo Boeing zingetua nchini kabla ya December 2017...

Sasa najiuliza, December si ndo hii kesho tarh 25 tunasherehekea Krismas? Bombardier ziko wapi sasa? Je Rais yeye tu ndo haguswi na masheria yake ya kuzuia watu kusema wakati yeye ndo katangulia mbele kusema Uongo?

UONGO MBELE TANZANIA NYUMA!
 
Zitakuja mwakani July possibly, I heard him addressing the public in Dodoma.
Nothing is easy like criticising and when u are a politician , u can't know the technicalities behind the delay.
Mpeni mda, palipo na uongo ukweli hujitenga na palipo na uongo mda ni mwalimu mzuri.
 
Walisema zitatua before DEC 2018. Unadhani kutengeza boeng ni sawa na kununua terrible teans?

Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" kwanza Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu kwamba Bombardier iliyokuwa imeshikiliww ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3 ikiwemo Boeing zingetua nchini kabla ya December...

Sasa najiuliza, December si ndo hii kesho tarh 25 tunasherehekea Krismas? Bombardier ziko wapi sasa? Je Rais yeye tu ndo haguswi na masheria yake ya kuzuia watu kusema Uongo wakati yeye ndo katangulia mbele kusema Uongo?
 
Fundi vyuma ni muongo muongo tu na mtaka sifa kwenye kila kitu. Bahati yake wapumbavu ni wengi ndio maana wenye akili za kuona uongo na ubabaishaji wake wanaoneshwa cha mtema kuni.
Haaminiki kabisa na hajawahi kutamka jambo likawa sawa kama alivyosema, watumishi wa serikali ni mashahidi.
 
Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu kwamba Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3 ikiwemo Boeing zingetua nchini kabla ya December 2017...

Sasa najiuliza, December si ndo hii kesho tarh 25 tunasherehekea Krismas? Bombardier ziko wapi sasa? Je Rais yeye tu ndo haguswi na masheria yake ya kuzuia watu kusema Uongo wakati yeye ndo katangulia mbele kusema Uongo?
Nyie ndo mnafanyaga watu 'wakulupuke' kuita media 'konfelensi' kujibu wakati hawana majibu 'yanyoereweka'.... sio poa, wapeni pumzi 'wamarize' 'kilisimasi' yao 'sarama' 'sarimini'.
 
Jamani ee...baada ya aibu ya Bombardier kukamatwa na wadeni wake Canada, kwanza Rais Magufuli alinyamaza, kisha akaamua "kumshughulikia" Lissu kabla kuzungumza kwa majigambo makubwa akiwa ziarani Mwanza kwamba si tu kwamba Bombardier iliyokuwa imeshikiliwa ingetua nchini, bali pia ndege zingine 3 ikiwemo Boeing zingetua nchini kabla ya December 2017...

Sasa najiuliza, December si ndo hii kesho tarh 25 tunasherehekea Krismas? Bombardier ziko wapi sasa? Je Rais yeye tu ndo haguswi na masheria yake ya kuzuia watu kusema Uongo wakati yeye ndo katangulia mbele kusema Uongo?
Pamoja na vitisho vyote watu hata hamuogopi??Ngoja mimi nikae kimya.....!Naogopa kushughulikiwa-a-a-a-a-a!!
 
Back
Top Bottom