Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,155
- 6,033
Nadhani itakuwa recorded mkuuHiyo kitu ni Live au recorded[emoji16]
Aise kama ni kweli mbona ni hatari sana aise! Maana ile mizoga sio poa! Huyo daktari atakuwa na kazi sana kwakweliNikweli, huwa a nafanya vitu zaidi ya hivyo, lakini naamini nyuma ya camera ana daktari na dawa za kutosha.
Hahahaa aise ni hatari kwakweliWeishiwa idea za reality program......... .....
Sasa mtu ale mzoga wa pundamilia kisa nn?!
Mimi nimeamua kuachana na dstv rasmi leo.Dstv sahv wanazingua kichz ..Maisha magic bongo sahv miyeyusho tuu hamna jambo wanarudia rudia Tamthilia ... Wameishiwa hawa hawana tofauti na startime
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongelea 19 mimi nalipa kile cha 49 lakin mamuvi ni yale yaleMimi nimeamua kuachana na dstv rasmi leo.
Kwa kweli wamenichosha.
Sisi wapenzi wa movies kalikali za maana na zile latest hatuna chetu kwa 19000.
DSTV ni michosho kwa kweli.