Hivi Discount Centre ndo Home Shopping Centre au? kwani majuzi nimeingia nakutana na ofisi za Home Shopping Centre zimeandikwa Discount Centre ila kwa ndani bado kuna maandishi ya HSC!