DISCOUNT CENTRE

DISCOUNT CENTRE

MUTTAZ

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2016
Posts
296
Reaction score
237
Hivi Discount Centre ndo Home Shopping Centre au? kwani majuzi nimeingia nakutana na ofisi za Home Shopping Centre zimeandikwa Discount Centre ila kwa ndani bado kuna maandishi ya HSC!

What is That?
 
Kama uliingia mbona ukuuliza wahusika sasa huku sisi tutakusaidia nini hasa
Sikuuliza ndio ila baadaye ndo nilipokuwa nishaondoka ndo fikra zikaanza kunijia na nikakumbuka jamaa walijifilisi
 
Hivi Discount Centre ndo Home Shopping Centre au? kwani majuzi nimeingia nakutana na ofisi za Home Shopping Centre zimeandikwa Discount Centre ila kwa ndani bado kuna maandishi ya HSC!

What is That?
Ulitakiwa uwaulize hapo hapo
 
Back
Top Bottom