Disco vumbi

Hee!!! Kumbe "YA MOTO BAND" imeanzia mbali eh!!!.
 
Teh teh teh ila wamefanana na mama yao mdogo hatari.....

Kula kabisa, mechi ya man u ikianza utashindwa kula

Akuuu!usiniletee kesi mie watoto wenu iweje wafanane na mimi???
 
Tabora kulikuwa siku haipiti bila vumbi.. vijana wa milambo walikuwa wanatinga kw wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…