na hapa ndo ndo kibabo zinachacha...!!kweli ni mvivu, lakini siku hizi nasikia hata tz imekuwa kama ni fashion kwa watoto wa dot com maana kila kitu wanafanyiwa..
hapo hakuna utani Lizzy, ni ukweli mtupu kabisa.kwani watoto wa dot com wanajua kupika,kufua,kunyoosha na kusafisha ? zaidi ya ma house girl?
ni kweli Nilham unavyosema, lakini hujui kuwa jinsi umleavyo mtoto ndio akuavyo?si kweli abuy ni mtu tuu mwenyewe utakavyojiweka... ila kama ni uvivu ndio tabia yako lazma yakukute...
ni kweli Nilham unavyosema, lakini hujui kuwa jinsi umleavyo mtoto ndio akuavyo?
ukimfundisha kuwa kula nyoka ni sumu hakika mtoto hatakula nyoka maishani mwake.
akah nimekuweza eti/ pole sana lakini ujaribu kujirekebisha kidogo ?