Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

Direct cost imepungua diploma maalumu UDOM

kwa hyo wakuu kwa sis 2naoingia mwaka wa kwanza ndo imepngua au? mbona 2meandikiwa 232100
 
wakuu vp kuhusu kwa sis direct special diploma kuhusu mamb ya tution fees na ukiangalia na bod bdo hawajatoa utaratbu
 
Mbona unatuzingua bro ina mana sisi hatujui kusoma mana pale kuna wanaoendelea ambao direct cost yao haifiki hata laki mbili na first year ndo ipo hiyo laki 207500
 
Ungeangalia na pale kwenye first year brother imetoka kwenye 232100/= hadi 207500/=
 
Back
Top Bottom