Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Hotuba ya kwanza baada Putin kukana mara kwa mara angeivamia nchi jirani yake Ukraine huku akisogeza majeshi yakae tayari
Alitiishia nchi yoyote itakaoingilia itakutana na moto mkali ambao hakuna nchi imewahi kukutana nao tena akawatishia majirani zake Sweden na Finland na ole wake mtu ajiunge na NATO
Kufikia wiki hii anaongea na Rais wa Finland akimwambia hakuna kitisho chochote kwa taifa hilo na kwamba kujiunga kwa Finland NATO kutaathiri Mahusiano ya nchi hizo mbili
Karata zimeenda kinyume na mipango na muda unazidi yoyoma atakapoipiga Finland au Sweden tayari Uingereza kaahidi atawalinda.
Tatizo kubwa nilichokiona Urusi kiuchumi sio nchi kuubwa hivyo anapata Changamoto sana katika Kuleta ushawishi hivyo anajikuta alichonacho hasa siraha ndio kama diplomasia yake ku-push ajenda zake.
Kutokana na hilo Vita ya Ukraine warusi wengi wanaona ni kama kudhalilishwa hivyo wakifahamu hamna jipya tena na Kuna hatihati hata Crimea isiwe salama tena itarudi kwa wenyewe
Putin anatafuta nafasi ya kutokea sio Kyiv tena Wala Khraviv Wala Odessa itakuwa tu ni ufyatuaji tu wa Makombora sababu ni hasara tu kuingiza wanajeshi na magari ya kivita
MAREKANI ALIKUTANA NA MAJANGA HAYA PIA MWISHONI KATIKA VITA NA VIETNAM
Baada ya Marekani kushindwa kabisa fikia malengo yake ikabaki tu kurusha Makombora ya masafa marefu Kila siku kuelekea kaskazini mwa Vietnam huku ardhini pakiwa hapaeleweki mstari wa mapambano ni upi na wapi ni salama sababu Kila Kambi ya Marekani ilishambuliwa na Soviet ikizidi toa msaada wa hali na mali mvamimizi akishuhulikiwa lakini Marekani nae akajikuta anatafuta mlango wa kutokea.
HISTORIA INAJIRUDIA URUSI HANA MUDA TENA WA KUENDELEA NA VITA AU UWEZO HUO WA KUKALIA NCHI YENYE WATU MILIONI 40 AMBAYO INAPATA MSAADA WA SIRAHA ZA KISASA NA WANAOTETEA NCHI YAO
Sasa Cha kujiuliza tu ataondoka kwa style Gani?