Diplomasia mashakani

Yalipoanza haya mambo niliwaza kuhusu hili, kwamba tunaweza kujikuta watanzania waliopo Kenya wanafanyiwa unyama kama uliowai kutokea south Africa dhidi ya wazimbabwe na wanaigeria. Kwa akili ya wakenya ilivyo lolote linawezekana.
Natamani hii hali isambae mpaka Uganda
 
Msikilize Pascal Mayalla hapa.. Kuna vitu sensitive sana kaongea.. Mkuu Pascal naitumia sana hii video yako lakini ni kwa nia njema kabisa🙏🏿🙏🏿🙏🏿View attachment 3343280View attachment 3343280
Dah hii ya moto sana. Itakuwa walimpa paskali frastuation sana duh. Ukisikiliza hii kitu utaelewa kwa TZ kuja kutoboa ni ishu. Ukijitia mjuaji utalala njaa na watoto watataabika. Naelewa kwanini Paskali kachagua kuwa Neutral. Anauma kidogo na kupuliza. Kingine ashukuru sana ni ndugu yake JPM …. Na JPM alisema kikwao Mayala ni njaa…..angekuwa ni ile jamaa ya kule kwetu….. jamaa angepotezwa

Lile swali Tiss na JPM hawakulipeda…..NAAMBIWA TISS waliulizwa huyu jamaa hamkumpa protocols kwenye vipindi vya LIVE kama hivi ?

P alipaswa kusimama na kusema Rais , tunashukuru ujio wako na nchi kwa sasa inanidhamu hongera…… now P angekuwa mbali sana kiuchumi :

Kumbe ndio maana machawa ni wengi duh

Hii kitu ya Paskali ifunguliwe Uzi
Aisee
 
Inakuwaje mtu kwenye akili Timamu unaanza kuwasikiliza na kuwategea sikio watu ambao unaona kabisa wamelewa pombe mpaka ufahamu kuwatoka.
Mkuu, ulishausikia msemo huu wa kilatini, ‘In vino veritas’? Kwa tafsiri isiyo rasmi msemo huu unamaanisha kwenye kileo kuna ukweli. Yaani, mtu akilewa anapata ujasiri wa kukueleza kile ambacho kiko moyoni mwake ambacho katika hali ya kawaida asingekueleza. Wazungu wanasema ‘Dutch courage’
 

Ni mambo ambayo watanzania hawaelewi hasa ukizungumzia Diplomacy.

Unapomuua Baba anayet
Gemewa na watoto mke ,ndugu na jamii basi tegemea hizo athari hasi zitafika hadi kijijini ndani ndani kabisa kwakuwa mambo yameunganika in one way or another.


Nilikuwa sion sababu zozote za kumpiga na kumuumiza MTU in diplomatic relations tulikuwa tunaweza kuwaruhusu hao jamaa kuingia Tanzania na hapo hapo tukawaambia kuwa kipi mfanye na kipi msifanye .


Ila ndo hivyo
 
Wanaomshauri Mother wanamwingiza chaka sana sidhani kama wanania nzuri nae sijui kwanini haling’amui hili,atakuwa na rekodi mbaya sana kulinganisha na watangulizi wake na atafanya wanawake wasiaminike kupewa nafasi ngazi za juu.
Hadi hapa naamini kabisa Tz haitakuja kuwa na Rais mwanamke kama USA tu
 
Padri wawili warambwa shaba hapo Kenya wiki hii.
 
Idiots. Maka wa Kenya na Ogamda na Tanzania uko baharini. Tuliutumia mara ya mwisho Vita vya Iddi Amin. Siku ikija Kenya itawafukuza Watanzania itabidi Umoja wa Viongozi wa Dini wa Kenya ugunge na kukesha nwakuomba la sivyo Kenya waakufa na njaa na biashara zao zitafungwa nyingi.
 
Sio kweli
Mimi tu nasafirigi kufata mzigo
Lala namanga alafu asubuh heaabu hice zilizobeba watz kuingia nairobi kuanzia saa 8 usiku na hiyo ni daily

Eti Azizi
Mambo ya mtandaoni bwwana
@masai dada we ni mchuuzi, mwamba kaongelea wafanyabiashara
 
Sio kipi wafanye na kipi wasifanye,sababu walishakutwa na hatia.Walipaswa kukamatwa na kuangalia sheria zinasema nini kulingana na makosa yao au kuwarudisha tu kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…