Baba Linah
Senior Member
- Aug 29, 2021
- 113
- 171
Wakijaribu tu itakula kwao.Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQNCpp8wM/?mibextid=xfxF2i
Hii sio dalili nzuri sana, hii fall out haitokuwa njema kabisaWananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQNCpp8wM/?mibextid=xfxF2i
Thats the plan ,ajae chaka halaf badae wamuweke pembeni kwamba she is unfitWanaomshauri Mother wanamwingiza chaka sana sidhani kama wanania nzuri nae sijui kwanini haling’amui hili,atakuwa na rekodi mbaya sana kulinganisha na watangulizi wake na atafanya wanawake wasiaminike kupewa nafasi ngazi za juu.
Wanaweza. Uliona wasauzi walivyowakata mapanga wazamiaji mwaka juzi?kikundi cha walevi hakiwezi wafanya chochote watanzania waishio kenya.
Ama kweli huu ni usiku uliochangamka.Wananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQNCpp8wM/?mibextid=xfxF2i
Ila Wakenya wapo awake sana mazee. Tukifika hii level ndio viongozi watakuwa na AdabuWananchi Kenya watishia kuwatimua Watanzania wanaofanya biashara na kazi Kenya
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CQNCpp8wM/?mibextid=xfxF2i
Kama utakumbuka tuliambiwa tuhamie kwingine,ila hatukuambiwa nchi bora eac.Ila Wakenya wapo awake sana mazee. Tukifika hii level ndio viongozi watakuwa na Adabu
Samia na JPM huwa vinywa vyao havina break . I Doubt kama vinatoka kichwàn kweli
Halaf ni kama hawa watu hawajui position ya Urais. Ishu Kama ile ilipaswa kujibiwa na waziri au katibu sio Rais
Alishasema kifo ni kifo kauli mbaya kabisa kutolewa na Rais…. Ngoja siku Wanu au Abdul afe ndio aje kutuambia kifo ni kifo
Now anasema nchi ya Kenya imeharibika….. that was bad statement na unethical ni kukosa weledi wa kidiplomasia….kauli ya Samia ilimaanisha Kenya imeharibika
Ruto kamjibu Samia kuwa Kenya is the best country in EAC na wakenya wawe proud na nchi yao.
Hivi kati ya Kenya na TZ …. Ni ipi imeharibika ?
Nchi ambayo mtu unaweza kutolewa kwenye gari na ukauliwa na serikal isifanye chochote, nchi ambayo unatekwq na kuuliwa na gvt haina majibu….. nchi ambayo mtu unakula shaba nje ya bunge na gvt haijui chochote ?
Hiyo ndio nchi bora ?
Ubora wa TZ ni upi? Nchi ambayo Raia wake hawàna uwezo wa kusimamamisha maamuzi ya Rais dhidi ya resources zao…. Ni nchi hiyo ? Nchi ambayo raia hawana uwezo wa kuquestion decion za viongozi, ni nchi hiyo?
Kenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…
. Samia amepoteza contrôl sana yani na hajui anafanya nini ; muhimu kumekucha
Kenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…Ila Wakenya wapo awake sana mazee. Tukifika hii level ndio viongozi watakuwa na Adabu
Samia na JPM huwa vinywa vyao havina break . I Doubt kama vinatoka kichwàn kweli
Halaf ni kama hawa watu hawajui position ya Urais. Ishu Kama ile ilipaswa kujibiwa na waziri au katibu sio Rais
Alishasema kifo ni kifo kauli mbaya kabisa kutolewa na Rais…. Ngoja siku Wanu au Abdul afe ndio aje kutuambia kifo ni kifo
Now anasema nchi ya Kenya imeharibika….. that was bad statement na unethical ni kukosa weledi wa kidiplomasia….kauli ya Samia ilimaanisha Kenya imeharibika
Ruto kamjibu Samia kuwa Kenya is the best country in EAC na wakenya wawe proud na nchi yao.
Hivi kati ya Kenya na TZ …. Ni ipi imeharibika ?
Nchi ambayo mtu unaweza kutolewa kwenye gari na ukauliwa na serikal isifanye chochote, nchi ambayo unatekwq na kuuliwa na gvt haina majibu….. nchi ambayo mtu unakula shaba nje ya bunge na gvt haijui chochote ?
Hiyo ndio nchi bora ?
Ubora wa TZ ni upi? Nchi ambayo Raia wake hawàna uwezo wa kusimamamisha maamuzi ya Rais dhidi ya resources zao…. Ni nchi hiyo ? Nchi ambayo raia hawana uwezo wa kuquestion decion za viongozi, ni nchi hiyo?
Kenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…
. Samia amepoteza contrôl sana yani na hajui anafanya nini ; muhimu kumekucha
Msikilize Pascal Mayalla hapa.. Kuna vitu sensitive sana kaongea.. Mkuu Pascal naitumia sana hii video yako lakini ni kwa nia njema kabisa🙏🏿🙏🏿🙏🏿Wanaomshauri Mother wanamwingiza chaka sana sidhani kama wanania nzuri nae sijui kwanini haling’amui hili,atakuwa na rekodi mbaya sana kulinganisha na watangulizi wake na atafanya wanawake wasiaminike kupewa nafasi ngazi za juu.
Wewe ni mchuuzi siyo mfanyabiashara 😁Sio kweli
Mimi tu nasafirigi kufata mzigo
Lala namanga alafu asubuh heaabu hice zilizobeba watz kuingia nairobi kuanzia saa 8 usiku na hiyo ni daily
Eti Azizi
Mambo ya mtandaoni bwwana
Huwezi kuelewa kitu wewe. Akili yako imevizwa nawe ukakubali. Unasumbuliwa na UJINGA WA KIHALAIKIInakuwaje mtu kwenye akili Timamu unaanza kuwasikiliza na kuwategea sikio watu ambao unaona kabisa wamelewa pombe mpaka ufahamu kuwatoka.
Na ninaamini bado asilimia chache sana za kujaaThats the plan ,ajae chaka halaf badae wamuweke pembeni kwamba she is unfit
Zimwi limelipuliwaCcm wanaweza kufanya lolote ili muradi wabakie madarakani.
Asante mungu dunia imewajua sasa
Hatar sanaKenya is far better than TZ kwa Level zote. TZ ni worst country …. Waandishi wa habari kenya wanamwambia Ruto lwenye maandamano watu 3 wamekufa ; Je Rais, huoni kuwa Mikono yako imejaa damu na ww ni muuaji ? Apo TZ ukimuhoji Rais ivo imekula kwako… muulize Paskali Mayalla…
View attachment 3343245