Diploma ya ualimu au postgraduate ya ualimu?

mbogawile

Member
Joined
Sep 15, 2015
Posts
41
Reaction score
1
jaman naomba msaada kuhusu pande hizo mbili,,mimi nimehitimu shahada ya uhasibu,lkn kutokana na tatizo la ajira nimefikilia kwenda ualimu,,ualimu wa diploma masomo ya sayans wanatoa mkopo,ila tatizo ni miaka 2,ila nahis ajira yake ni uhakika,,lkn postgraduate diploma ada ni ndefu mil 3.5,ila mwaka ni mmoja na kuhusu ajira zake kwa mwaka huu inaonekana ni shida,,nishaurin nisome ipi?
 
Ajira zake ni shida kivipi mkuu?maana hata mimi nilikuwa na wazo hilo la kusoma PGDE nikitegemea urahisi wa ajira
 
Nenda diploma 2 kwavile ushasema ajira yake ni uhakika
 
Ajira zake ni shida kivipi mkuu?maana hata mimi nilikuwa na wazo hilo la kusoma PGDE nikitegemea urahisi wa ajira

inawezekana nimesema,ni kutokana na maneno mengi mtaani ila sina uhakika na hilo,,wanasema kuanzia mwakani tunaweza kuwa tuna omba kama nafas nyingine
 
Mkuu mm nilisoma economic... baada ya ajira kubana....nikapiga dp ya ualimu....(science...)nimelamba ajira mwaka jana ....na mishe zingine zinaendelea mkuu
 
Fanya Postgraduate ya ualimu
Kwanza ni mda mfupi
Pili utaanza na TGTS D

diploma nI miaka 2
Halafu unaanza na TGTS C
 
Kuna hadi vyuo vya mill 1.9 kama arusha university siyo lazima usome udsm 3.5
 
Acha kudanganywa, idara ya elimu inaajiri watu wa diploma na degree za education tu na si vinginevyo.

Kama nia yako ni ajira mpya rudi kasome diploma utapata ajira tena bila shida maana wana uhitaji wa walimu wa sayansi. Ila ukisoma PGDE nakuhakikishia utarudi kulalama hapa.

PGDE na masters ni extra tu ila haikufanyi ukaajiriwa, inawahusu sana ambao tayari either ana diploma au degree ya education ivo anajiendeleza tu, kwa ajira mpya mmmh!!!! Labda waanze kesho
 
huwa wanaajiriwa ila wasiwas unakuja kwa hii miaka tunayo endanayo.
 
Wanaajiriwa ajira mpya???

Kama wanaajiriwa unahofu gani na umri??? Maana kila ngazi ya elimu inaeleweka mtu anakuwa na umri fulani, why uogope??
 
huwa wanaajiriwa ila wasiwas unakuja kwa hii miaka tunayo endanayo.
Zingatia ushauri wa Apologize lady,
hakuna direct entry ya post graduate ya ualimu! Kwanza hujiulizi katka ngazi za mshahara kuwa hiyo PGDE unakuwa category gani?
Serikalini directly entry ni Grade A, Diploma na Bachelor basi. Hiyo post unakuwa ni additional tu.
 
Back
Top Bottom