Zero_and_One
Member
- Jun 4, 2019
- 43
- 92
Mkuu c++, java hayo ni mambo ya IT na mtu wa IT na umeme tofauti,Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.
Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.
Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.
please naomba ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.
Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
Java nimekuwa naisoma sio kwasababu ya mwaswala ya umeme,bali ni kwa sababu ya Android App Development.Mkuu c++, java hayo ni mambo ya IT na mtu wa IT na umeme tofauti,
Kidogo hapo kwenye Data structure uongeze na MATLAB, autoacad kingine umeme ni mzuri maana anaingia sehemu nyingi sana kuanzia service, production,
Mtu wa umeme hachuji maana anafit sehemu nyingi sana
I.T HIYO NI BASIC USIIACHE. MENGINE JUU YAKOMimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.
Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.
Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.
please naomba ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.
Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
Ndo maana nimekuja kuomba ushauri ili niweze kujiongeza mwenyewe.sasa kwa nini usiutumie huo ujuzi wako wa miaka miwili kijiajiri au unataka vyeti ili iwe rahisi kupewa kitambulisho cha taifa
Kivipi naweza kusoma vyote ? yaan niende chuo kusoma Umeme na huku mimi mwenyewe nisome hiyo IT au?Kama unaweza soma vyote yaani IT na UMEME kwani utapiga pesa kote kote.
Shukrani kwa ushauri.I.T HIYO NI BASIC USIIACHE. MENGINE JUU YAKO
Shukrani kwa ushauri.Lakini naoana miaka itakuwa mingi sana.Soma kimoja kwanza kati ya umeme na it, kisha una malizia na kingine...
ualimu no no no no...
Mimi ni mgeni kwenye hili jukwaa .Lakini nimekuwa mfuatiliaji kwa muda wa miaka mingi sana na nimenufaika na mengi.Hii ndo post yangu ya kwanza katika jukwaa la magreat thinker.
Niende kwenye mada husika ,Nimekuwa nikijisomea peke yangu kwa muda wa miaka miwili sasa mambo yanayohusu IT .Namshukuru Mungu nimeweza kujifunza vitu vingi sana kwa mfano basic katika programming ikiwemo C, C++,php , javascript and Java. Lakin nikaamua kujifunza Data structure mambo ya Linked list,Queues,graph,Trees. Nataka Mungu akinijaalia Afya niweze kujifunza Algorithms just basic.Na katika utengenezaji wa website nimewenza kujifunza basic za Html and css ,bootstrap na programming language ambazo nimeshazitaja hapo juu na pia framework ikiwemo Laravel ,React na malengo pia ya kuja kusoma Django.Na mengineyo mengi .
NIMEWEZA KUFANYA YOTE HAYO KUPITIA YOU TUBE AND GOOGLE.
NImesubscribe channel nyingi saana ambapo ndo najifunzia ikiwemo thenewboston,mycodeschool,traversy Media,freeCodeCamp,MIT,Chris Hawkes ,cs dojo n.k.
natumia Youtube downloader na Savefrom.net kudownload tutorial na PDF DRIVE , library genesis kudownload BOOKS.
Ndoto zangu nataka baadae nije kuwa Eng. wa maswala ya umeme nimetokea kuipenda sana programming lakin bado ndoto zangu za maswala ya umeme hazijapotea.So naomba ushauri ndugu zangu je ni nikasome ualimu kwa maana alama zangu za advance zinaniruhusu kwenda huko napia naupenda lakini sio first priority, kuhusu UMEME nahisi ushindani utakuwa mkubwa saan hivyo sito weza kupata ,kwa alama zangu (naomba usiniulize nina ngapi?)sio kubwa saan, ingawa nina vigezo vinavyohitajika AU nianze tu diploma ya umeme AU nibaki nikiendelea kupambana na maswala ya IT.
Nilibaatika kusoma PCM.
please naomba ushauri wako maana nipo njia panda na miaka inazidi kunitupa mkono.
Popote nilipokosea naomba mnisamehe.Kiswahili changu hakipo vizuri.
Sikuweza kuendelea na masomo kwa sababu ya matatizo yangu binafsi.
soma computer science achana na IT........
Kasome umeme dogo.. Kama umeweza kufanya hvyo vyote... Bas umeme unakufaa... Kuna baadhi ya vyuo wanatoa electrical and telecommunication enginering.... Utafaidika sana... Achana na hayo mengne
Usome basics ujiajiri!!!! Unaijua programming mzee.sasa kwa nini usiutumie huo ujuzi wako wa miaka miwili kijiajiri au unataka vyeti ili iwe rahisi kupewa kitambulisho cha taifa