Diploma ya CO ni miaka 3 haijalishi umetoka Form 6 au Form 4 ili mradi sifa za kusoma CO unazo ambazo ni purely from Olevel.Hivi diploma ya clinical medicine ni miaka mingapi kwa f 6
Pia kuadvance hadi degree ya MD Jumla ni miaka mingapi
Diploma mitatu ukiunga mpak degree MD(5) jumla naneHivi diploma ya clinical medicine ni miaka mingapi kwa f 6
Pia kuadvance hadi degree ya MD Jumla ni miaka mingapi
Md miaka 5 mzee then unaenda intern mwaka mmojaDiploma ya CO ni miaka 3 haijalishi umetoka Form 6 au Form 4 ili mradi sifa za kusoma CO unazo ambazo ni purely from Olevel.
MD ni miaka 6 na gharama za kuisoma ni kubwa sana hasa kama hutopata chuo cha serikali.
Kwahiyo utatumia karibu milioni 30 kusoma tu CO to MD.
Kupata CO kwa vyuo vya serikali ni ngumu, let's say utasoma private ambao ada yao siyo chini ya 2M hivyo kwa miaka 3 utalipa zaidi ya 6M.
Then kwa MD vyuo vya private Ada ni zaidi ya 4M kwa mwaka, hivyo kwa miaka 5 itakuwa approximately zaidi ya 20M ( Ingawa hii unaweza kuisoma ukiwa inservice lakini bado ni gharama sana )
Angalia pia na umri wako
Akifika degree ataomba mkopoDiploma ya CO ni miaka 3 haijalishi umetoka Form 6 au Form 4 ili mradi sifa za kusoma CO unazo ambazo ni purely from Olevel.
MD ni miaka 6 na gharama za kuisoma ni kubwa sana hasa kama hutopata chuo cha serikali.
Kwahiyo utatumia karibu milioni 30 kusoma tu CO to MD.
Kupata CO kwa vyuo vya serikali ni ngumu, let's say utasoma private ambao ada yao siyo chini ya 2M hivyo kwa miaka 3 utalipa zaidi ya 6M.
Then kwa MD vyuo vya private Ada ni zaidi ya 4M kwa mwaka, hivyo kwa miaka 5 itakuwa approximately zaidi ya 20M ( Ingawa hii unaweza kuisoma ukiwa inservice lakini bado ni gharama sana )
Angalia pia na umri wako
Mda mrefu sanaCO - 3 (Bila kupata Tatizo lolote la academic n.k)
MD - 5 (Bila kupata Tatizo lolote la academic n.k)
Ila, ili upige MD kwenye vyuo vya serikali.. UWE UMEFANYA KAZI at least 2 years. (Kwa Private Medical Schools HAIZINGATIWI SANA).
Therefore, A Minimum 8-10 years of hustling from an O-level certificate holder (maana a-level haijalishi) to a Qualified Medical Doctor (MD) through Clinical Officer (CO) is needed.
Usikate tamaa, pambana son.
Yafaa sanaNatumae mleta mada umepata muongozo...