Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Nimependa the way mlivyomshauri huyu ndugu yetu safi sana,hili ndo jukwaa la wenye busara na hekima. Asanteni sana
Tunakoenda siko....mtu ana degree anangangania apewa kazi ya mtu wa Diploma? Kwa nini asionyeshe vyeti vyake ana awaeleleze kwa shida alizonazo yuko tayari kupokea hiyo post ya chini? You never know wanaweza kutumia busara kumpangia mshahara wa elimu yake
Ahsanteni wadau kwa ushauri mzuri.ndo maana jf naikubali maana ishu km hii ukipeleka fb utacheka kwa mawazo yaliyokaa kchekechea zaidi.
Ila hata mie nilitaka nikioneshe tu chti ila mshahara nipo tyri kupewa wa diploma coz nilikubaliana na sharti tangu awali.
Sasa mkuu unataka kumchanganya muomba ushauri..inavyonekana nafasi ya kazi inahitaji sifa za diploma na sio degree..acha kwanza aingie hayo mengine atayafanya ndani kwa ndani..kuna msemo upo kwamba ni rahisi kutafuta kazi ukiwa na kazi kuliko kutafuta kazi wakati hauna kazi..
hongera kwa option uliochagua,
ukijishusha mungu atakuinua....once again hongera na kila laheri