JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 483
si wamekuambia tar 8 auMbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto.
Aaaaarghhhhhh
duuuh kweli man ungekuwa unafuatilia usingekuwa haufaham mpaka sasa, tarehe nane kiongozi
CAS will be opened for applicants with diploma qualifications on 8th August 2016. Thank you.
Tulieni saiv tunashughulika na UKUTA kwanzaMbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto.
Aaaaarghhhhhh
Guidebook na dirishs tayar liko wazMbona kimya wadau wenye diploma wanaotaka kuapply kwenda degree tupeane dondoo mambo yakoje. Tunaomba nyepenyepe lini utafunguka huo ukurasa tuanze kuapply mm kichwa kinaendelea kupata moto.
Aaaaarghhhhhh