Diploma kwenda Degree

Diploma kwenda Degree

Inaonesha jinsi gani taasisi haina uhakika wa mambo inayoyafanya ndomana wanababaisha kutoa ahadi za uongo
 
Wanasubiri mkuu wa kaya atoe tamko au wameona watu wengi wana vigezo vya Gp ya
 
Wanasubiri mkuu wa kaya kutoa tamko kwani wamezoea kuendeshwa na matamko au wanataka kubadili GPA iwe juu zaidi
 
Vipi wakuu bado haifunguki tu hiyo website?
 
Mh! ya hitaji moyo wa uvumilivu tar 8 mpaka leo na kuendelea.....
 
Back
Top Bottom