Diploma kwenda Degree

Diploma kwenda Degree

Bado kila kitu kinaboa sana mwaka huu siasa imeingia kwenye elimu sasa kila kitu imekuwa shida
 
Hebu tusubiri SAA 23:59
Kama kutakuwa na mpyaaa
 
Mimi Huwa Najiuliza Maswali! Ikiwa Kwenye Kuapply Wanatunyanyapaa Kama Hivi, Je Kwenye Selection itakuaje??
 
Inatakiwa kujipa moyo kwani imekuwa to much
 
Ni roho Mbaya Zao tu Hao TCU, hii ilikuwa ni Kazi ya NACTE lakini Wamejifanya Wao Ni Mahodari Na Wajuzi Hatimae Wanaishia Kutupiga Kalenda na Uongo Mwingi.
Ingelikuwa tunadahiliwa na hile hile NACTE yatu Mpendwa Yasingelikuwa Haya Kwa maana tungelikwisha Maliziana Zamani.
Shame on you TCU....
 
Haya jamani hii ndio tanzagiza..!!
Atakaye jaribu ikikubali tushtuane waungwana..
 
Kwa hali hii ya nchi, naona watu wengi wataanza kwenda Kenya, Uganda na Zambia kusoma. Maana apa mambo yashakuwa magumu kama kipindi kile Sekondari zilivyokuwa chache.
 
Nchi inaendeshwa hovyo hovyo hakuna hata wizara moja yenye afadhali, wengine wakiona hawana kazi wanaanza kufukuzana na dk mwaka, wengine wanawalaza watumishi kwenye mwenge...daaaah
 
Tuendelee kuvumilia........" mvumilivu hula mbivu"
 
Duuuh yan mwaka huu ukiwa kamil kusoma degree unatakiwa ushukuru Mungu sana.
Maana kwa haya manyanyaso
 
Back
Top Bottom