Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

Diploma kuomba mkopo, AVN- NACTE

kokaumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
404
Reaction score
188
Wanajamvi kuna ndugu yangu ameniomba nimfanyie application za mkopo na chuo, yeye n muhitimu wa diploma mwaka huu, shida inakuja pale system ya kuomba mkopo inapohitaji aatach cheti ili hali bado havijatoka,he afanyeje na ameshalipia hela 30. Ishu nyingine ni kuomba chuo wao wanahitaji AVN shida inakuja pale ninaporequest AVN NACTE katika system ni lazima uapload cheti..je wahitimu wa diploma mwaka huu hawawezi kuomba bachelor?
 
Aende kwenye chuo alichosomea hiyo diploma, aonana na msajili atapata wepesi wa kupata hiyo AVN
 
Kwanza umeongopa... Na pengine haujajaribu ila umesimuliwa.

AVN inapatikana online hata bila ku upload cheti chochote na gharama yake cjui 10 au 20.

Hii nina uhakika... Jana tu nilimuombea mtu avn. Kupitia website ya nacte.

Kuhusu attachmnt hapo sijui
 
Wewe utakua umeomba transcript koz AVN haikuhitaji hata payments, ndio nimefanya online
 
Wewe utakua umeomba transcript koz AVN haikuhitaji hata payments, ndio nimefanya online
avn unalipia elfu kumi na mimi nifanya ivyo nikapata ila kwa mra ya kwanza unajaza data zako then baadae watakutumia sms ya kulipia ukilipa ndo utapata AVN
 
Screenshot_20190805-005755.jpg
 
Ila niliforce kusend bila ya kuapload cheti....au mimi ndo nimekosea
 
avn unalipia elfu kumi na mimi nifanya ivyo nikapata ila kwa mra ya kwanza unajaza data zako then baadae watakutumia sms ya kulipia ukilipa ndo utapata AVN
Hataki... Mi nimemuambia kanikosoa..

Nikakausha maana huwa kuna watu wanauliza huku wakiwa na majibu yao kichwani
 
Link ni ipi ndugu katika hizo kwa sababu Mimi hiyo niliyozungushia ndiyo niliyoombea na haikunihitaji malipo yeyote...msaada please ni link ipi katika hizo.
 
Au n baada ya hayo masaa 120 ndio watanitumia SMS ya kulipia...sielewi ndugu zangu msinichoke....mshkaji anahitaji kwenda chuo sema hana idea yeyote...please great thinkers
 
kwenye kuomba mkopo inabid awe na transcript ila kwa waliomaliza diploma mwaka huu transcript bado hazijatoka so inabidi awe na PARTIAL RESULT yake kutoka chuo
 
Back
Top Bottom