Naomba kujua kwa mtu aliesoma certificate ya ualim elim ya awali anaweza kusoma diploma ya elim maalum na ni kwa miaka mingap form 4 na divison 3 (C 5 D 4)
Chuo kinachotoa Certificate na Diploma ya Elimu Maalumu ni chuo Cha Patandi tu kilichopo Arusha. Wasiliana nao wakupe maelekezo kwa sababu hua sifa na vigezo vinabadilika.
Simu ya Mkuu wa Chuo 0767-275920 / 0716-767380
Simu ya Msajili 0689 517171/ 0752355526
Simu ya Mtaaluma 0755-640517/0624-130402
Naomba kujua kwa mtu aliesoma certificate ya ualim elim ya awali anaweza kusoma diploma ya elim maalum na ni kwa miaka mingap form 4 na divison 3 (C 5 D 4)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.