Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) mwaka huu, yuko Arusha kwa sasa kwa yoyote anayeweza kumsaidia ani PM, yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote na mahali popote Tanzania.