Diploma in Procurement and Logistics Management.

madata84

Member
Jan 17, 2011
49
2
Habari zetu wana jf, ninaomba msaada kwa yoyote yule anayeweza kunisaidia nina rafiki yangu anatafuta kazi amemaliza Diploma ya Procurement and Logistics Management katika chuo cha Tanzania Institute of Accountancy (TIA) mwaka huu, yuko Arusha kwa sasa kwa yoyote anayeweza kumsaidia ani PM, yuko tayari kufanya kazi mkoa wowote na mahali popote Tanzania.
 
Huyo rafik yako ye ana matatzo gan hadi atafutiwe kazi,au ni wewe mwenyewe unataka kazi kiujanja mkuu?
 
Cjawahi ona m2 anatafutiwa kazi wakati wa kusoma alikuwa peke yake Cuseme 2 ni wewe cc 2kusaidie...
 
ukitaka kufanikiwa usiwe muoga kaka. jitambulishe tu kuwa ni wewe watu wakusaidie kuliko kuficha.












UOGA NDIYO KIKWAZO CHA MAENDELEO
 
Back
Top Bottom