Diploma in primary education

Diploma in primary education

mandojo

Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
41
Reaction score
5
hey guys, jaman me naomba ufafanuzi kwa anayefaham hili,.•• inasemekana kuwa diploma in primary now ni BASIC TECHNICIAN certificate!" na inasomwa miaka 2 tuu na xio mitatu"! mweny kuelew zaid atujuze
 
Ni kweli wote inaitwa basic technician certificate na inasomwa na aliemaliza kidato cha nne mwenye kati ya division one mpaka three. Duration ni miaka miwili sio mitatu. Kwa maelezo zaidi crrtificate imebadilishwa gwanda ila ni ile ile kama chama kubwa. Ukimaliza hiyo utatakiwa kupiga kazi for not less tjan two yrs ndo urudi kwa diploma ambayo nayo itakutaka usome two yrs. Huyo ndo ndali anaboresha elimu kisawa sawa sio mdebwedo elimu ni fani kama zilivyo fani nyingine
Your welcome!!!
 
sorry hivi walio omba awamu ya pili hiyo certificate na diploma kuna aliye chaguliwa chuo?
 
Ni kweli wote inaitwa basic technician certificate na inasomwa na aliemaliza kidato cha nne mwenye kati ya division one mpaka three. Duration ni miaka miwili sio mitatu. Kwa maelezo zaidi crrtificate imebadilishwa gwanda ila ni ile ile kama chama kubwa. Ukimaliza hiyo utatakiwa kupiga kazi for not less tjan two yrs ndo urudi kwa diploma ambayo nayo itakutaka usome two yrs. Huyo ndo ndali anaboresha elimu kisawa sawa sio mdebwedo elimu ni fani kama zilivyo fani nyingine
Your welcome!!!
Kwahiyo ukimaliza diploma in primary utaenda somea degree in primary au vipi jamani...??
 
Back
Top Bottom