Diploma in mining engineering

Kaluluma

Member
Joined
Mar 7, 2019
Messages
55
Points
95

Kaluluma

Member
Joined Mar 7, 2019
55 95
Habari za leo wakuu,nimechaguliwa diploma in mining engineering katika chuo cha madini Dodoma,naomba kujua mwenye uelewa wowote kuhusu
1.source nzuri za materials
2.njia nzuri za kutumia katika kujisomea
3. Mwenye mchango wowote wa kimawazo wa kunijenga unakaribishwa
Natanguliza shukrani🙏🙏
 

Forum statistics

Threads 1,364,001
Members 520,596
Posts 33,303,385
Top