Diploma in Logistics and Transport Management

Diploma in Logistics and Transport Management

Mchochezi93

Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
8
Reaction score
3
Habari za saa hizi wana JF ....Mimi ni kijana Wa miaka 26 nimemaliza diploma ya kozi tajwa hapo juu. Natafuta ajira (kazi) kwa sasa ila nashindwa kuelewa ni Makampuni gani yanayoajiri watu wa logistics sana naomba nijuzwe kwenye hili wadau

Sent using Samsung J7 Jamii Forums mobile app
 
Yaani umesoma mpaka umemaliza hujui utafanya kazi kwenye makampuni ya aina gani??

Huko chuoni ulifundishwa nn sasa kama hata huelewi unafanya kazi gan na wapi!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom