Diploma in Clinical medicine/ nursing

Diploma in Clinical medicine/ nursing

kachy

Senior Member
Joined
Jul 11, 2021
Posts
138
Reaction score
69
Habarini wana jamvii nimehitimu kidato cha sita na division 3 ya 14 DEE kombi ya CBG baada ya matokeo nikawa sina budi kuomba diploma but nilikua naomba ushaurii kozi gani itakua na maslahi,na nzuri kati ya hzo mana zote nazipenda nashindwa kuamua o level nilikua na 2 ya 20 msaada wenu jamani I'm a teenager 19 years.
 
Habarini wana jamvii nimehitimu kidato cha sita na division 3 ya 14 DEE kombi ya CBG baada ya matokeo nikawa sina budi kuomba diploma but nilikua naomba ushaurii kozi gani itakua na maslahi,na nzuri kati ya hzo mana zote nazipenda nashindwa kuamua o level nilikua na 2 ya 20 msaada wenu jamani I'm a teenager 19years
Sasa wewe me labda nikushaur jambo tu. Kumbe unasoma course ili uangalie malipo. Ina maana kwa maandishi yako huna passion na hizo kazi ila wewe unataka ya kukulipa ndiyo uende.

Nakwambia sikuiz CO wanafeli vibaya sana huko vyuoni, nenda na tamaa zako ukaaangukie pua, pia kazi hamna skuiz ma CO kbao wamerundikana mitaani kama mchanga. Sasa ustegemee kitonga
 
Nenda kasome nursing au medical laboratory hizi kozi Zina wigo Mpana wa ajira clinical medicine (co) imeshakua kozi yenye watu wengi Sana kuliko hizo zingine
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Nenda kozi ambayo hata kama ukikosa ajira una uwezo wa kujiajiri kutokana na taaluma yako, miaka ya siku hizi si swala la kupenda kozi gan, ni kuhusu upepo umekaaje! Ungekuwa mdogo wangu! Ningekushauri diploma ya Pharmacy na Maabara coz una uwezo wa kujiari in case umekosa ajira ingawa michongo ya kitaa unaweza pata pia na Radiography naona kama michongo ipo ipo! Mwisho wa siku follow your heart
 
Yeah umeshaurui vzurii
 
Sasa wewe me labda nikushaur jambo tu. Kumbe unasoma course ili uangalie malipo. Ina maana kwa maandishi yako huna passion na hizo kazi ila wewe unataka ya kukulipa ndiyo uende.

Nakwambia sikuiz CO wanafeli vibaya sana huko vyuoni, nenda na tamaa zako ukaaangukie pua, pia kazi hamna skuiz ma CO kbao wamerundikana mitaani kama mchanga. Sasa ustegemee kitonga
Sijamanisha maslahi ya pesa no ajira I mean
 
Radiology
Dental
C.O

Clinical Medicine kama una malengo ya kujiajiri mwenyewe ni nzuri itakuvusha..ukiwa C.O unaweza kuuza dawa,kuchoma sindano,kupima na kutibu so una wigo mpana(zingatia kama unataka kujiajiri ndo kuna pesa ila ukitaka kuajiriwa angalau serikalini ndo utainjoi japo utapelekwa mbwinde..ajira za private now kuna watu wanalipwa hadi laki 3 kwa mwezi)…pia inahitaji muda na kusoma sana kuvuka mwaka wa pili.

Dental hii kozi ina hela mno kwa sasa kama utabahatika kujiajiri na unatoa huduma safi kwanza haina ushindani na ni watu wachache wanaosomea...pia hata kama utaajiriwa serikalini hutakaa vijijini utakaa hospital za wilaya ubaya wake wewe utadili na meno tu.

Radiology hii ni kozi nyingine yenye pesa kwa sasa,mahitaji ni makubwa hasa ulimwengu wa sasa kutibu kwa kutumia picha..mtaani hawa watu sio wengi so dili zipo bado na ukibahatika serikali utakaa hospital kubwa na digrii yake ndo kwanza uneanzishwa so uhitaji wa diploma bado mkubwa sana..unaweza jiajiri au kuajiriwa ubaya tu wewe hutatibu bali utabobea kutoa diagnosis kupitia picha.

Sasa kama unataka kozi itakayokufaa for life hata kama na ina future kubwa nenda C.O na kama unataka kozi utakayopiga pesa kwa muda mfupi chukua dental au Radiology.
 
Umemaliza mkuu
 
Dental mshahara wao kiasi Gan boss na VP kozii na masomo yake yanahitajii kusoma Sana juhidi nyingi?
 
Serikalini mshahara mmoja tu kuanzia dental,C.O na Radio nk nadhani kwenye 750k kwa private nina jamaa angu yeye analipwa kwa kichwa kwa siku anasepa hadi na 40-70k kutegemea na wingi wa watu

Brother hii kozii masomo yake yapoje na kwa. Bongo DSM inapatikana kam college na ada yao ndefuu Sana'a. Kozii nilikua sina information kuhusu koz
 
Mmetuchosha sasa na hizi siredi za clinical medicine
kwani hamna nyingine fani ya kusomea?
 
Vyuo vichache mkuu private wanatoa vyuo viwili 2 KAM na Bulongwa na ada zake 3M but serikalini kuna Tanga,Mbeya,PHCI-Iringa ada 1M kwa mwaka
Brother hii kozii masomo yake yapoje na kwa. Bongo DSM inapatikana kam college na ada yao ndefuu Sana'a. Kozii nilikua sina information kuhusu koz
 
Samahanii kama inaku boa but unaweza anzisha thread ya nursing nayoo piaaa nimeiaweka palee juu
🤣🤣🤣
Mngekaza msuli na sasa mgekuwa mnauliza kusomea MD......😂😂😂

Back
Top Bottom