Tatizo lenu ni moja mna haraka sn na maisha,, umeshapata dip mfno ya clinical mdcn, tulia piga kaz miaka 3 baada ya hapo unaenda kusoma hutokua na presha na wala hutohitaj mkopo! bt nyie mwk huu unamaliza,, mwk huo huo untk usome degree, sa diploma ulisoma ya nn? au mnalitumia kama daraja baada ya kufeli? achen haraka haraka na maisha.