Diploma holder ingieni kwenye profile zenu

Diploma holder ingieni kwenye profile zenu

mm mwenyewe hadi nmechokaa,.....cwaelewi kabsa...
 
wata wa tangazia kuwa gpa za kuingia chuo ni 2.7 ile ya kwanza ni ya majaribio
 
Mpaka nahisi kuchanganyikiwa.... Mwaka huu mbona kazi tunayo..!!
 
Nyie mmeingi mpaka pale kwenye password na username, cz mm nimeingiza password na username nikakuta profile yangu iko vilevile kama nilivyofanya application hakuna kilichobadilika
 
Mbona Mi Nmechaguliwa Nilikuwa Na GPA Ya 3.6 Nahisi Km Uko Below 3.5 Huwezi Chaguliwa
 
Duuuh kila sehem majanga nilfikr n form six leavers ndio wanaumia kwa second round. Kumbe had diploma vile vile
 
Back
Top Bottom