Hahah eti wanalialia.sawa mkuu nimekuelewaNimeona diploma wanalia lia tu siku hizi.
Hebu akapige pcb kwanza advance atengeneze tokeo zuri ili aje kupiga medicine yake hiyo chuo
Kama anataka medicine inabidi afix huo mswaki wa maths kwnza kila chuo wamemention maths km ana ubavu anende advance annue mtihan form4 asome maths ili akienda degree awe na japo D maths hana ubavu inabidi atafute option nyengineHabarini wakuu
Nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne 2016 na kupata alama hizi..
b/math C kisw B
Bios A Geog C
Phys C Eng B
Chem C civ C
Add/math F
anataka kusoma diploma ya clinical officer lugalo au kibaha kutokana na ushaur alopewa na watu tofauti pia anafikiri kwenda advance akasome pcb malengo yake ni kusoma medicine.
je wana JF munamshaurije huyu dogo?
Apige advance au aende diploma?
Angalia vizur mkuu hapo kuna basic math na additional mathMkuu clinical medicine hawezi kusoma na hiyo F ya math mwambie aende advance tuu
Hio ni additional math.alifanya kama option tu ila basic math ana CKama anataka medicine inabidi afix huo mswaki wa maths kwnza kila chuo wamemention maths km ana ubavu anende advance annue mtihan form4 asome maths ili akienda degree awe na japo D maths hana ubavu inabidi atafute option nyengine
Mkuu kuna B.Math ana C ila Addition Math ile ya kibabe Ndio ana F... ruksa kunisahihishaMkuu clinical medicine hawezi kusoma na hiyo F ya math mwambie aende advance tuu
Sawa mkuu sikuangalia vizuri anaweza akapata vizuri tuu clinical medicine.Mkuu kuna B.Math ana C ila Addition Math ile ya kibabe Ndio ana F... ruksa kunisahihisha
Nikweli mkuu sikuangalia vizuri anaweza kusoma clinical medicine vizuri tuuAngalia vizur mkuu hapo kuna basic math na additional math
kwahio humshauri kupiga advance pcb?Nikweli mkuu sikuangalia vizuri anaweza kusoma clinical medicine vizuri tuu
Ndio akasome diploma tuu mkuu ,kwanza atapata fani kuliko kwenda advance afu akakwama tena atakua kapoteza mda.kwahio humshauri kupiga advance pcb?
Anhaa poa mkuu.Ndio akasome diploma tuu mkuu ,kwanza atapata fani kuliko kwenda advance afu akakwama tena atakua kapoteza mda.
NB:Kama yuko fresh acha akakomae na mziki wa pcb.
Hiyo ni addition mathMkuu clinical medicine hawezi kusoma na hiyo F ya math mwambie aende advance tuu
Mzee magu alisema huwezi maliza 4m 4 ukaenda diplomaaaa ukimaliza 4m 4 uende 5 6 then diploma kwa sheria zake ili uende chuo ukimaliza 4m 4 lazima upge certfcte then diplomaaaa DODOMA walo weng hawakurudi huwez maliza 4m 4 then diploma ilikuwa kwa NYERERE MWALIMU LA 4 THEN UALUMU huyo aendee 5 au certifctMkuu kuna B.Math ana C ila Addition Math ile ya kibabe Ndio ana F... ruksa kunisahihisha