Dini zimechelewesha maendeleo

Dini zimechelewesha maendeleo

Kwa upande wa Africa tumeshindwa kuelewa nini maana ya dini. Imefikia hatua tuna uana hatusaidiani hatupendani tumejawa chuki kisa dini tofauti.Ni vigumu sana kupata maendeleo kwa sababu mda mwingi tuna utumia kupingana kupandikiza chuki..
Ukweli utabaki kuwa japo, wakereketwa wa kila dini wanasema si Kweli.
 
Dini za ajabu na kishenzi zipo nyingi sana.Kuna ya kuhimiza chuki na mauaji kwa wasioiabudu,pia inawaita majina mabaya wasioiamini.Ni dini ambayo huenezwa kwa vitisho na hamjengi muumini wake kutatua changamoto za kimaisha zaidi ya kumteka fikra zake na kuwa mateka katika kongwa la utumwa kifikra na kitamaduni.Ni dini tishio na hatari kwa ustawi wa jamii na maendeleo yao
 
Mtu yyt anaemuua mwenzake kwa ajili ya dini huyo haijui dini hkn dini inayoelekeza watu wauane. Ila waafrika na waarabu akili zetu ni mbovu tu
Wazee wa vipensi wanaambiwa wakiua wanaingia peponi na zawadi ya mabikira 10
 
Sema nchi za Afrika zimechelewa na zitachelewa kupata maendeleo kwa sababu ya UJINGA wa watu, na TAMAA za viongozi wakiafrika. Usisingizie dini. Vita ya kwanza na ya pili duniani haijasababishwa na dini!
Ni ujinga wetu tu,mbona China dini siyo kihiiiivo lkn wanatuzidi
 
Mnazunguka nini ? Dini inayoshabikia kukata watu mikono na vichwa mnaijua. Dini inayohubiri chuki. Ujinga na maovu yote ikiwa ni pamoja na kumpiga mawe mwanamke aliyebakwa mnaijua. Dini iliyoleta vita Somalia. Yemen na Syria mnaijua. Sasa mwatapatapa nini hapa ?
 
Kwa upande wa Africa tumeshindwa kuelewa nini maana ya dini. Imefikia hatua tuna uana hatusaidiani hatupendani tumejawa chuki kisa dini tofauti.Ni vigumu sana kupata maendeleo kwa sababu mda mwingi tuna utumia kupingana kupandikiza chuki..
Pia vyama vya upinzani vinarudisha maendeleo nyuma, ikiwezekana vifutwe
 
bora ungesema siasa kuliko kusema dini ....nchi za Africa zimejaa viongoz walafi wa madaraka.
Wala dini aiusiki.
 
Linaendana na mada.
Ziko dini zimesaidia sana katika juhudi za kuleta maendeleo katika nchi hii.
Baadhi ya dini zimeweza kujenga taasisi nyingi za msingi katika jamii, kama Shule, Vyuo, Viwanda, Hospitali, Barabara, Vyanzo vya Umeme, na kujumuisha wanachi katika kuboresha shughuli za Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Ujenzi, nk.
Ziko dini zilizo dunisha maendeleo ya jamii kila zilipoweka kambi za kidini na kuifanya jamii zilizowakaribisha kiwa nyuma katika maendeleo.
Ziko baadhi ya dini wanaabudu usiku na haijulikani wanachokifanya kwa jamii inayowazunguka, kila kitu kwao ni siri siri.
Ziko dini zinazoongozwa na akina Nabii Tito. Kazi yake ni kuhimiza Ulevi, Uvivu, Uzinzi, Starehe nk.

Unaposema madhara ya dini inabidi uzitaje hizo dini na madhara yake katika jamii.
Na sio kujumlisha kila dini
Hayo yote unayozungumza yapo kwenye nchi tofauti duniani, na zina maendeleo kuliko nchi yoyote ya Africa.

Nakupa mfano, Saudi Arabia, Dominated by Islam (japo sio islamic state). Hii nchi wana rasilimali moja tu ya mafuta, wapo hatua milioni 300 kuliko tanzania yenye Almasi, yenye Dhahabu, yenye Uranium, Yenye Wild life, yenye Gas, yenye Tanzanite. Sasa nataka unambie, udini umeingiaje hapo kwenye rasilimali kiasi kwamba taifa haliendelei? Tuanze kuwatizama ma CEO wa kampuni zinazojishughulisha na izo rasilimali na watu waliozunguka sehemu husika wana dini gani kisha tuseme dini ndio tatizo?

Kwanini waafrika wenye dini ndio waonekane hawaendelei lakini wasiokuwa waafrika wenye dini wanaendelea?

Hivi wewe rais, majukumu yako unayajua kwa wananchi lakini huyakamilishi, tatizo linakuwa dini? au Tamaa zako?

Wewe umeenda chuo kusoma, kufika chuoni ukaona bora ujiuze, ujichubue uwe mweupe, tatizo ni dini?

Wewe unamuona mwenzako anapata mafanikio, unaanza kumuonea choyo na kumtia husda, tatizo ni dini?

Wewe ushaona mbunge wako umemtilia kura, kashinda, kila mwisho wa mwezi anapewa pesa za jimbo, anakwenda kufanya mambo yake binafsi badala ya kuzitumia jimboni, halafu uchaguzi mwengine umefika, unamtilia tena kura, tatizo ni dini?

Mungu amejaalia nchi ina neema, amekuja fulani anataka kufungua kiwanda kuzalisha bidhaa fulani, unamwambia humpi leseni mpaka akupe 10% share, tatizo ni dini?

yapo mengi, ila naomba unijibu moja moja.
 
Kwa upande wa Africa tumeshindwa kuelewa nini maana ya dini. Imefikia hatua tuna uana hatusaidiani hatupendani tumejawa chuki kisa dini tofauti.Ni vigumu sana kupata maendeleo kwa sababu mda mwingi tuna utumia kupingana kupandikiza chuki..
min -me kuna muda nakuelewa
 
Asilimia kubwa yawanaoshinda kwenye nyumba za ibada uwezo wao kiuchumi upo chini yote 9, 10 wengi wao ni wanafki
Ambao hawashindi huko wana afadhali
Dah , noma sana imani ni haki ya kila mtu kuamini apendavyo , tuwashauri tu kwa upendo hasa wale walevi wa hizi imani mpaka kupelekea madhara kwa jamii .
 
Back
Top Bottom