Dini zimechelewesha maendeleo

Dini zimechelewesha maendeleo

Sijakuelewa hapo dini zina sababisha maendeleo kudidima kivipi??
 
Mfano mdogo Africa ya kati wameuana kwa misingi ya dini mpaka sasa nchi haijapata utulivu na sehemu nyingine mtu anashindwa kupata ajira ata kama ana utaalam kisa dini
Sema nchi za Afrika zimechelewa na zitachelewa kupata maendeleo kwa sababu ya UJINGA wa watu, na TAMAA za viongozi wakiafrika. Usisingizie dini. Vita ya kwanza na ya pili duniani haijasababishwa na dini!
 
Sema nchi za Afrika zimechelewa na zitachelewa kupata maendeleo kwa sababu ya UJINGA wa watu, na TAMAA za viongozi wakiafrika. Usisingizie dini. Vita ya kwanza na ya pili duniani haijasababishwa na dini!
Dini ipi ?
 
IMG_0913.JPG
 
Kwahyo hizo nchi zilizoendelea na zenye amani zote watu wake hawana dini sio,tatizo huko shuleni hamfundishwi critical thinking,matokea yako mnaunganisha dots vibaya,hapo mwenyewe unajiona umetoa bonge la pointi.
 
Dini hufanya waliokua wajinga wawe wajinga zaidi.

Hufanya wenye akili kukosa akili kabisa.

Mungu hayupo.
 
Fanya utafiti uone wamisionari walivyoisaidia kuleta maendeleo ambayo mpaka kesho serikali isingethubutu hasa kwenye elimu na afya then uje uandike tena
 
Kwa upande wa Africa tumeshindwa kuelewa nini maana ya dini. Imefikia hatua tuna uana hatusaidiani hatupendani tumejawa chuki kisa dini tofauti.Ni vigumu sana kupata maendeleo kwa sababu mda mwingi tuna utumia kupingana kupandikiza chuki..
Sio DINI ni NGONO ndio tatizo
 
Swali lako mbona haliendani na what you quote? umeisoma vizuri quote?
Linaendana na mada.
Ziko dini zimesaidia sana katika juhudi za kuleta maendeleo katika nchi hii.
Baadhi ya dini zimeweza kujenga taasisi nyingi za msingi katika jamii, kama Shule, Vyuo, Viwanda, Hospitali, Barabara, Vyanzo vya Umeme, na kujumuisha wanachi katika kuboresha shughuli za Kilimo, Ufugaji, Uvuvi, Ujenzi, nk.
Ziko dini zilizo dunisha maendeleo ya jamii kila zilipoweka kambi za kidini na kuifanya jamii zilizowakaribisha kiwa nyuma katika maendeleo.
Ziko baadhi ya dini wanaabudu usiku na haijulikani wanachokifanya kwa jamii inayowazunguka, kila kitu kwao ni siri siri.
Ziko dini zinazoongozwa na akina Nabii Tito. Kazi yake ni kuhimiza Ulevi, Uvivu, Uzinzi, Starehe nk.

Unaposema madhara ya dini inabidi uzitaje hizo dini na madhara yake katika jamii.
Na sio kujumlisha kila dini
 
Back
Top Bottom