African Believer
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 436
- 428
kweli kabisa.Kwanza kwa dunia hapa ilipo bakia wacha Mungu wanakua watatu kwenye 1000.
Ukweli mtupuHizi dini tumeletewa tu
Kwanza kwa dunia hapa ilipo bakia wacha Mungu wanakua watatu kwenye 1000.
Naomba unipe elimu zaidi kuhusu hili, mtu anaweza akawa ana mawasiliano na Mungu pasipo Kuwa na dini????Mungu ana mawasiliano ya moja kwa moja na mja wake hata asipokua na dini ama dhehebu.
NdiyoNaomba unipe elimu zaidi kuhusu hili, mtu anaweza akawa ana mawasiliano na Mungu pasipo Kuwa na dini????
Bila shaka yoyote, mwanadamu akijiuliza mwenyewe aweza jua kaka yeye na mcha Mungu ama la.Uchamungu uko kwenye nafsi.
Kama watenda matendo mema na una upendo waweza kuwa pekee, kwani matendo hayo yamekua adimu mno.Kweli mkuu na inawezekana Dar Es Salaam yote mchamungu Niko peke yangu
Naomba unipe elimu zaidi kuhusu hili, mtu anaweza akawa ana mawasiliano na Mungu pasipo Kuwa na dini????
Umenena vyema sana, mababu zetu walitenda kwa uadilifu pasipo kuwa na dini. Mungu yupo kila mahali na zama zote watu wake walimtambua pasipo kuwa na hiki kinachoitwa dini.Dini si Mungu na Mungu si dini....dini zimewekwa tu ili sie wanadamu tuwe na kanuni ya kufuata na imani ya kumjuwa Mungu. Rudia katika asili yetu ya zamani kabla ya waarab na wazungu kuja kuturubuni na hizi dini zao. Uhitaji kuwa muislam au mkristu ili umjuwe ama kuwa karibu na Mungu, Mungu ni Imani na matendo yake. Kabla ya kuja waarab na wazungu mababu zetu waliishi kwa amani tena ya bila kuwa na ubaguzi, ila baada ya kuletewa hizi dini zisizo na manufaa kwetu ndipo tumeaanza ujinga wa kubaguana kuwa huyu ni muislam na yule mkristu, ni ujinga mtupu. Angalieni hata huko kwao, mpaka leo waarab na wayahudi wanapigana vita wanataka kutushirikisha sie tuungane na upande mmoja, hatuhitaji hizi dini.....zilishalaaniwa toka kitambo.