Dini na mahusiano

amshapopo

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
2,537
Reaction score
5,849
Wewe kama mwanume unaweza kubadil dini yako sababu ya msichana?
 
Inawezekana, maamuzi ya mtu tu ayo, mapenzi matamu
 
hili jambo ni nyeti sanaa...unampenda mtu,ubadili dini imani yako..then akusaliti...aaah
 
Kwa mimi sibadili. Yeye ndo anifuate. Hataki basi.
 
Mmmmhh huu uzi nmeupenda kweli,binafsi siwezi kubadili dini yangu kwa sababu ya mapenzi maana naiamini sana imani/dini yangu,ikitokea labda mapenzi yamenikolea kwelikweli basi nitajitahidi kumshawishi afuate imani yangu ikishindikana basi, huwezi jua ntampata mwingine tunaeendana maana Mungu ni mkubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…