You are suffering from mababu things because you put your faith on mababu. All the quotes you gave come from the OLD TESTAMENT. But we have the NEW TESTAMENT signed by the BLOOD OF JESUS CHRIST. Ndio hiyo inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, this is a passage from the new testament.Embu ona hapo Same bible on one side against the other side.. These lines toument my faith .. .Maana mm ni muanga wa adhabu ya Baba na Mababu kulingana na Watumishi wanavyo niona karibia watumishi wa5 nilio kutana nao nyakati tofauti waliona makosa ya mababu na baba yangu ndio yamepelekea adhabu kwangu na kaka zangu.. Lakini nikiipitia biblia nakuta na verses zinazo nichangnya zaidi.. How come ? Am I Missing something on interpretation or what.!!?
Soma hii hapa utafakari unisaidie kama sielewi.
Kutoka 20:5
[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Alafu kuna hii inapingana na hiyo ya juu.!!
KILA MTU ATA UBEBA MZIGO WAKE NA ADHABU YAKE:
Kumbukumbu la Torati 24 16
Mababa wasiuawe kwa ajili ya watoto wao, wala watoto wasiuawe kwa ajili ya baba zao; kila mtu na auawe kwa ajili ya dhambi yake mwenyewe.
Then, why is my family suffer from Mababu things??
Asanten
Hakuna suffering yoyote maisha yako yanaongozwa na vitu vitatu muhimu sana ukivisimamia inavyotakiwa basi maisha yako hayatopata kua ya maandiko ya historiaThen, why is my family suffer from Mababu things??
Kama hii Damu ya Yesu inge kuwa inamaliza kila kitu kwa miaka ya maombi niliyopitia na matamko ya hiyo damu niliyofanyiwa na watumishi.. na mm mwenyewe hakika Ndugu zangu wangekuwa mbali sana leo hii.. na Mm ningesha kuwa Mtu katka watu.You are suffering from mababu things because you put your faith on mababu. All the quotes you gave come from the OLD TESTAMENT. But we have the NEW TESTAMENT signed by the BLOOD OF JESUS CHRIST. Ndio hiyo inasema kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe, this is a passage from the new testament.
You and your brothers should be sanctified in the blood of Jesus Christ. There is mercy and redemption in Jesus. Msikubali mambo ya mizimu, waganga, mambo ya mila za kale za mababu wa ukoo na laana zake. Tubuni, wekeni imani yenu kwa yule aliyefanyika kafara kwa ulimwengu mzima, naye ni Yesu Kristo, mtaona madai yote ya mababu yatakwisha! Muwe na imani thabiti, msifanye hivyo kwa kujaribu au bila imani thabiti. Kuweni watu wa sala na maombi, achaneni na dhambi mtakuwa salama.